Mgombea Udiwani wa CCM Kata ya Sombetini,Jijini Arusha akijinadi mbele ya Mkutano huo wa Uzinduzi za Kampeni kwenye viwanja vya Soko la Mabauda, Mwalimu David L.Mollel
Watoto wakiwapa DOLE msafara wa CCM katika uzinduzi huo.
#Kaziiendelee
Kaulimbiu | Desemba 09,2016“Tuunge mkono jitihada za kupinga rushwa na ufisadi na tuimarishe uchumi wa viwanda kwa maendeleo yetu.”
Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara