Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokeaakimkaribisha Rais mstaafu wa Tanzania wa awamu ya tatu Benjamini Mkapa kuhudhuria Mkutano wa 17 wa dharura wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afika Mashariki Ikulu jijini dar es salaam Septemba 8,2016
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Rwanda Paul Kagame kuhudhuria Mkutano wa 17 wa dharura wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afika Mashariki Ikulu jijini dar es salaam Septemba 8,2016 (katikati ni Mpiga picha wa Rais John Chacha)
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea makamu wa Rais wa Kenya Wiliamu Ruto kuhudhuria Mkutano wa 17 wa dharura wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afika Mashariki Ikulu jijini dar es salaam Septemba 8,2016
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Uganda Yoeri Kaguta Mseveni kuhudhuria Mkutano wa 17 wa dharura wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afika Mashariki Ikulu jijini dar es salaam Septemba 8,2016







