Home » » Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Bi Lucia A.Mwiru aifunda Kamati ya Utekezaji UWT Arusha.

Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Bi Lucia A.Mwiru aifunda Kamati ya Utekezaji UWT Arusha.

Written By CCMdijitali on Saturday, February 25, 2017 | February 25, 2017

uwt
Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Bi Lucia A.Mwiru akifurahia jambo wakati alipokutana na Kamati ya Utelezaji ya UWT CCM Wilaya ya Arusha (kulia ni Mwenyekiti wa UWT Kata ya Kaloleni Bi Neema akitabasamu)

Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Bi Lucia A.Mwiru akitoa nasaha kwa Kamati ya Utelezaji ya UWT CCM Wilaya ya Arusha (kushoto ni Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Arusha  Bi Mary Kisaka akionyesha furaha . Kikao kilifanyika katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.

Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Bi Lucia A.Mwiru akitoa nasaha kwa Kamati ya Utelezaji ya UWT CCM Wilaya ya Arusha  . Kikao kilifanyika katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.
Kushoto ni Mwenyekiti wa UWT Kata ya Sekei Bi Akira na Katibu wa UWT Kata ya Kati.
 


Kushoto - kulia ni Mwenyekiti wa UWT Kata Sokon I Bi Sophia  ,Katibu wa CCM Kata ya Sekei na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Wilaya Bi Ruth Msuya na Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Arusha  Bi Mary Kisaka. Kikao kilifanyika katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Wilaya ya Arusha.


Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link