NAIBU WAZIRI PINDA AELEKEZA UENDELEZAJI MIJI KUZINGATIA MIPANGO KABAMBE

Na Munir Shemweta, WANMM Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geofrey Pinda amezielekeza Halmashauri zote nchini kuhakik...

Latest Post

KATIBU WA CCM MKOA WA ARUSHA AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA ARUSHA.

Written By CCMdijitali on Thursday, February 26, 2015 | February 26, 2015

KATIBU WA CCM MKOA WA ARUSHA NDG ALPHONCE KINAMHALA AKIONGEA NA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA ARUSHA , KATIKA UKUMBI WA CCM MKOA LEO.
 KATIBU WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG FERUZZY BANO AKIONGEA NA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA ARUSHA LEO KATIKA UKUMBI WA CCM MKOA.
 KATIBU WA CCM TAWI LA BONDENI KATA YA KATI NDG MFAUME AKIFURAHIA JAMBO KATIKA MKUTANO WA KATIBU WA CCM MKOA NA VIONGOZI WA WILAYA YA ARUSHA LEO, KATIKA UKUMBI WA CCM MKOANI ARUSHA.
 MWENYEKITI WA CCM KATA YA KIMANDOLU NDG ABRAHAMA JOSEPH AKIWA NA KATIBU WA CCM KATA KIMANDOLU NDG NGWIJO NYUMA YAO ALIYEVAA KOFIA NI KATIBU WA CCM KATA YA SOMBETINI NDG GERALD MUNISI , WAKIONEKANA KUSIKILIZA KWA MAKINI JAMBO KATIKA MKUTANO WA  KATIBU WA CCM MKOA NA VIONGOZI WA WILAYA YA ARUSHA LEO, KATIKA UKUMBI WA CCM MKOANI ARUSHA.
 KATIBU WA CCM KATA YA OLORIEN NDG JONAS AKIFUATIWA NA KATIBU WA UVCCM KATA YA OLORIEN NDG JESCA KATIKA MKUTANO WA  KATIBU WA CCM MKOA NA VIONGOZI WA WILAYA YA ARUSHA LEO, KATIKA UKUMBI WA CCM MKOANI ARUSHA.
 KATIBU WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG FERUZZY BANO AKIONGEA NA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA ARUSHA LEO KATIKA UKUMBI WA CCM MKOA, KULIA NI KATIBU WA JUMUIYA YA WAZAZI CCM MKOANI ARUSHA.
 WAJUMBE KUTOKA KATA MBALI MBALI WAKIWA WATULIVU KATIKA MKUTANO, KATIKA UKUMBI WA CCM MKOANI ARUSHA LEO.
 KATIBU WA CCM MKOA NDG ALPHOSI KINAMHALA AKIWASALIMIA WAJUMBE KABLA YA KUONGEA NA VIONGOZI MBALI MBALI, KUSHOTO KWAKE NI KATIBU WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG FERUZZY BANO NA KATIBU WA JUMUIYA YA WAZAZI CCM MKOANI ARUSHA.KATIKA MEZA KUU.
 BAADHI YA VIONGOZI WA KATA YA KATI WAKIWA WANAFUATILIA MKUTANO KWA MAKINI.
 KATIBU WA CCM MKOA WA ARUSHA NDG ALPHONSI KINAMHALA AKITETEA NA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA ARUSHA LEO.



 MWENYEKITI WA CCM KATA YA UNGA LTD NDG SOPHIA MUNISI AKISISTIZA JAMBO KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA ARUSHA LEO.
 VIONGOZI WA KATA YA DARAJA II WAKISHANGILIA KWA FURAHA.
 BAADHI YA VIONGOIZ KUTOKA KATA YA LEVOLOSI.

BAADHI YA VIONGOIZ KUTOKA KATA YA NGARENARO WAKISIKILIZA KWA MAKINI.

MJUMBE WA BARAZA LA UVCCM MOSHI MJINI ATUA CCM ARUSHA

Written By CCMdijitali on Wednesday, February 25, 2015 | February 25, 2015

KATIBA INAYOPENDEKEZWA YATUA ARUSHA

Written By CCMdijitali on Friday, February 20, 2015 | February 20, 2015

MAMA SIFA SWAI AKUTANA KIKUNDI CHA VIKOBA CHA ENDANATA KATIKA OFISI ZA CCM WILAYA YA ARUSHA.

Written By CCMdijitali on Thursday, February 19, 2015 | February 19, 2015

MH. WASIRA AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA 38 WA WADAU IFAD,ROMA ITALY

Written By CCMdijitali on Wednesday, February 18, 2015 | February 18, 2015




Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika,Mhe. Stephen Wasira akihutubia katika Mkutano wa 38 wa wadau wa mfuko wa Maendeleo wa Kilimo Duniani (IFAD) uliofanyika mjini Roma Nchini Italy.

RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA WILAYA WAPYA 27

PRES. MUGABE CALLS AFRICA TO FIND WAY TO HONOR MWALIMU NYERERE - VIDEO

Zimbabwean President Robert Mugabe showered praise on the Late Mwalimu Julius Nyerere, Tanzania's first President for his role in the the liberation struggle of Southern African States saying that little has been done to recognize Nyerere's contribution.


President Mugabe also gave Rtd Brig-Gen Mbita of Tanzania US$100 000 here yesterday in recognition of his central role in the liberation struggles of Africa in general and Zimbabwe in particular.

The President also called on ADC and Africa to find a way of honouring Tanzania’s founding president Mwalimu Julius Nyerere, describing him as one of the foremost characters in the  decolonisation agenda.

President Mugabe honoured Rtd Brig-Gen Mbita — who at one point served as Tanzania’s Ambassador to Zimbabwe — soon after launching nine volumes of the Hashim Mbita Project, which document the liberation struggles of nine Southern African countries. The project is the brainchild of Sadc leaders and is wholly funded by member-states.

Nine countries covered by the project are Zimbabwe, Angola, Botswana, the DRC, Mozambique, Namibia, South Africa, Tanzania and Zambia. Rtd Brig-Gen Mbita was the last and longest serving Liberation Committee secretary, responsible for mobilising arms and military equipment to fight colonialism.

The Liberation Committee office was in existence for 30 years with Rtd Brig-Gen Mbita its executive secretary from 1974 until the agency was officially closed in 1994 when South Africa gained independence. The Liberation Committee was established at the founding summit of the OAU in 1963.

“This is in recognition of his sterling contribution to the liberation of Zimbabwe from colonial bondage,” President Mugabe said to Ms Shella Hashim Mbita, who received the award on her father’s behalf.

“It is an honour for me to stand before you today on behalf of my ailing father, Brigadier-General Hashim Mbita, who was invited to attend this auspicious occasion. It is unfortunate that due to his current state of ill-health, he could not attend. But he would have liked very much to be with you.

“When I informed my father about the launching of the publication documenting the history of the liberation struggle of the Southern African region by the Hashim Mbita Project, and about the invitation extended to the family, he was greatly moved,” Ms Mbita said.

Chief Secretary to the President and Cabinet Dr Misheck Sibanda told the Summit that to date only Mwalimu Julius Nyerere (Tanzania), Agostino Neto (Angola), Samora Machel (Mozambique), Seretse Khama (Botswana) and Kenneth Kaunda (Zambia), had received the Royal Order of Munhumutapa for their contributions to Zimbabwe’s liberation.

“In light of (Rtd Brig-Gen Mbita’s) contribution to the liberation of Zimbabwe, Government felt he deserved this honour,” Dr Sibanda said. Foreign Affairs Minister Simbarashe Mumbengegwi read the accompanying citation.

Renowned historian and Midlands State University Vice Chancellor Professor Ngwabi Bhebe, who presented the Hashim Mbita Project Publication to the Summit, said indigenous academics from the nine countries the volumes focus on worked on the publication from 2006.

On Mwalimu Nyeyere’s status, President Mugabe said Africa had not done enough to honour this icon of continental liberation. He said this as he accepted ascension to the post of Sadc Chair.

“We have not done much by way of paying tribute to our founding fathers. Yes, something has been done for (Kwame) Nkrumah at the AU, and recently a hall was named after (Nelson) Mandela.

“But we forget, perhaps as a new generation of leaders, that the greatest burden of freeing Africa was borne by one country — Tanzania. That one. Not that he was the greatest, but Mwalimu — no mention has been made, no symbol to remember his part. We cannot be that ungrateful, no. “I would want to say, help us, help me, respect Mwalimu at the AU somehow,” President Mugabe, who is also the AU deputy chairperson, said.


 

VIONGOZI WA KATA YA SOMBETINI WATUA CCM WILAYANI ARUSHA

 KATIBU WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG FERRUZY BANO (KUSHOTO) AKIWA NA KATIBU WA JUMUIYA YA WAZAZI CCM WILAYA YA ARUSHA NDG REHEMA MOHAMED WAKIONGEA NA VIONGOZI WA KATA YA SOMBETINI LEO KATIKA OFISI ZA CCM WILAYA YA ARUSHA
BAADHI YA VIONGZI  WA KATA YA SOMBETINI WAKISIKILIZA JAMBO KWA MAKINI LEO,KATIKA OFISI ZA CCM WILAYA YA ARUSHA.
 VIONGOZI WA KATA YA SOMBETINI (kulia - kushoto) NI  NDG FRIMINI AMO KATIBU WA UVCCM KATA YA SOMBETINI NA MWENYEKITI WA CCM KATA YA SOMBETINI NDG PASUA AKISISITIZA JAMBO KWA MAKINI.
 KATIBU SIASA NA UENEZI TAWI LA SOMBETINI AKIFUATILIA JAMBO KWA MAKINI,KATIKA KIKAO WALICHOKUTANA NA KATIBU WA CCM WILAYA YA ARUSHA LEO,  KATIKA OFISI ZA CCM WILAYA YA ARUSHA

LEO KATIKA JIJI LA ARUSHA

Written By CCMdijitali on Tuesday, February 17, 2015 | February 17, 2015

 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link