NAIBU WAZIRI PINDA AELEKEZA UENDELEZAJI MIJI KUZINGATIA MIPANGO KABAMBE

Na Munir Shemweta, WANMM Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geofrey Pinda amezielekeza Halmashauri zote nchini kuhakik...

Latest Post

IPL spot-fixing case to be reinvestigated

Written By CCMdijitali on Tuesday, July 30, 2013 | July 30, 2013

Future remains uncertain for Indian Premier League teams after disparity is found in the evidence by Bombay High Court.




Chennai Super Kings owner Gurunath Meiyappan (C) is no longer in clear after 'unconstitutional' ruling
[AFP]

An Indian court on Tuesday said the spot-fixing allegations from this year's Indian Premier League should be reinvestigated after declaring that a panel set up by the Board of Control for Cricket in India was 'illegal and unconstitutional.'

The panel had cleared two teams and its officials of the charges.

"The entire incident needs to be reinvestigated," the Bombay High Court said in its order after the Cricket Association of Bihar filed a case against the BCCI.

"There was disparity in the evidence collected by the probe panel."

The order effectively strikes down the panel's report clearing Chennai Super Kings team principal Gurunath Meiyappan and Rajasthan Royals co-owner Raj Kundra of betting and keeping in touch with illegal bookmakers during the IPL.

The report was to be discussed at an IPL governing council meeting on Friday when the teams and officials were expected to be formally cleared of the charges.

Former BCCI secretary Sanjay Jagdale was originally the third member of the panel but his resignation after the spot-fixing controversy reduced the number to two.

The spot-fixing controversy arose after the arrest of Rajasthan Royals players Shantakumaran Sreesanth, Ajit Chandila and Ankeet Chavan by Delhi Police, who claimed they had proof that the players had conceded more than a specified number of runs per over in return for money from illegal bookmakers.

Delhi Police on Tuesday named all three players in a charge-sheet filed in a court that named a total of 39 persons. The list includes alleged underworld don Dawood Ibrahim and his aide Chhota Shakeel, who the police claim have been operating the spot-fixing racket from outside India.

All the accused have been charged with a stringent Maharashtra Control of Organized Crime Act (MCOCA).

Sreesanth and Chavan are out on bail, while Chandila is in jail awaiting trial. Two other Rajasthan players - Sidharth Trivedi and Harmeet Singh have also been questioned by police.

Meiyappan, who is the son-in-law of BCCI president Narainswamy Srinivasan, spent nearly two weeks in jail after he was accused of spot-fixing, while Kundra admitted only to betting and was never arrested.

Srinivasan, who is the managing director of the India Cements company that owns the Chennai Super Kings, was forced to step aside pending the investigations for fears of a conflict of interest.

Former ICC president Jagmohan Dalmiya took over as acting BCCI president in the interim.

The BCCI has also announced a separate investigation into the roles of the Rajasthan players in the spot-fixing controversy.

Source:AP

Dozens killed in Italy bus accident

At least 39 people killed after bus plunges more than 30 metres off flyover into ravine in southern part of country.

Switzerland train crash leaves driver dead

Collision on one of the safest rail networks in Europe also injures several people.



 
 Rescue workers, including medics and firefighters, rushed to the scene from neighbouring cities [Reuters]

 Two trains have collided head-on in western Switzerland, killing one of the drivers and injuring 26 passengers, police said.

The driver's body was found overnight in the wreckage of the crash on Monday at Granges-pres-Marnand in the canton of Vaud, police spokesman Jean-Christophe Sauterel said.

A total of 46 passengers had been on board, police said.


Police also said it was too early to try to ascertain the cause of the crash.


Rescue workers, including medics and firefighters, had rushed to the scene from across the Broye region which includes Granges-pres-Marnand, as well as from neighbouring cities.


One train had been bound for Lausanne, about 38km to the south, while the other was travelling north from the same city, officials said.


Monday's collision on what is one of the most popular and safest rail networks in Europe was the latest in a series of rail accidents on the continent.


It came in the wake of Wednesday's crash in the Spanish city of Santiago de Compostela which killed 79, and a crash near Paris two weeks ago that claimed seven lives.


Source:Agencies

Memorial service held for Spain train victims

Royals and political leaders joined hundreds in Santiago de Compostela's cathedral to mourn the 79 people killed



Spain has mourned the 79 people killed in its worst train disaster in decades with a solemn memorial service attended by hundreds in the pilgrimage city of Santiago de Compostela.

The heir to the Spanish crown Prince Felipe, his wife Princess Letizia and his eldest sister Elena, walked solemnly down the aisle of the city's towering cathedral in Monday’s ceremony.

They were followed by Prime Minister Mariano Rajoy, government ministers and other officials and joined members of the victims' families and residents of the northwestern city. "We are gathered here to ask for happiness in eternity for the dead," a priest told the congregation, before a choir sang the first hymns of the service.

Outside locals and visitors including Roman Catholic pilgrims to the city stood to pay their respects outside the cathedral, at whose gates were placed flowers, candles and handwritten messages of condolence.

 A crowd watched the service on a giant outdoor screen on another nearby square as the archbishop of Santiago, Julian Barrio, began the service.

Most of the dead were buried over the weekend in various parts of Spain. Regional health authorities said 69 people caught in Wednesday’s crash were still in hospital on Monday, 22 of them in serious condition.

A judge has bailed the driver of the train, Francisco Jose Garzon Amo, on charges of reckless homicide.
 
 The crash was one of the worst rail
disasters in Spanish history [AFP]


Source:Agencies

Freedom for two officials seized by Al-Shabaab

During the abduction on January 12, 2012, about 100 Al-Shabaab fighters had attacked and destroyed an Administration Police camp at Gerille

PHOTO | FILE The mother of Wajir DO Yesse Mule prays for her son on January 19, 2012, after he was abducted by Al-Shabaab militants.
PHOTO | FILE The mother of Wajir DO Yesse Mule prays for her son on January 19, 2012, after he was abducted by Al-Shabaab militants. Mr Mule and another government officer, Mr Fredrick Wainaina, were freed on July 30, 2013.  NATION MEDIA GROUP

Two officials who were abducted by Al-Shabaab have been freed after almost two years in captivity.
Mr Mule Yesse — who was captured in January 2012 in Wajir where he was District Officer, was released on Monday, his family confirmed.

Also freed was Mr Fredrick Irungu Wainaina, who works with the office of the Registrar of Persons.
The two are currently in Nairobi.

The Nation independently established that they were received by officers from the National Intelligence Service and the Directorate of Military Intelligence who spent most of Tuesday with them.

Mr Yesse’s father, Edward said: “I’ve not seen my son but I can confirm the information is true because I have been talking to him on phone since yesterday (Monday). We are waiting for a reunion later but it’s too early to give more information.”

Edward also shared the information with a friend through an SMS seen by the Nation.

It read: “I did not want you to hear it as part of the rumours. I am happy to inform you that my son was released yesterday. More details to follow. Our God is a God of wonders! Yesse.”

Another family member who requested not to be identified said relatives had been instructed not divulge the information.

Bongo Movie wanatamba kimuziki pia

Baby Madaha msanii aliyeibukia kutoka mashindano ya BSS na kuwa moja kati ya waigizaji wanaofanya vizuri katika fani zote mbili yaani muziki na filamu, kaigiza filamu za ‘Ray Of Hope’, ‘Nani’, ‘Desperado’ na nyinginezo.


 Masanja

KATIKA kujiongezea kipato zaidi au kulinda umaarufu wao usipotee katika jamii, baadhi ya wasanii wa filamu hapa  Bongo  wamejikita katika fani nyingine ya muziki.

Wasanii waliofanya hivyo ni wengi, japo si wote walioweza kushika chati ya muziki kwa umahiri.
Lakini wasanii wa filamu ambao wameingia katika uimbaji wamefanikiwa tofauti na wasanii wa muziki walioingia katika filamu. Jambo hilo linatoa mwanya kwa waigizaji kuamini kuwa wanaweza kuteka soko la muziki pia.

Wasanii wa filamu wanaoimba wameanza muda kidogo, wa kwanza kuingia katika muziki alikuwa Jackson Makwaya ‘Bambo’ ambaye alivuma na wimbo ‘Kitambi’.

Bambo alifanya hivyo baada ya kuwa nyota katika uigizaji kupitia kundi la Kaole Sanaa. Baadaye swahiba wake, Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu’ naye akafuata nyayo.

Ukifuatilia kwa undani utagundua kuwa wasanii wengine wa filamu ambao wamekuwa wakifanya muziki, wanafanya hivyo kama kwa ‘kubipu’ kwani bado wanang’ang’ania filamu zao.

Tena wanaofanya hivyo ni Wachekeshaji (makomedi) ambao ni Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, Hamis Mshangani ‘Mtanga’, Lucas Mhuvile ‘Joti’, Asha Boko, Gilliady Kahena ‘Masai Nyota Mbofu’, Makwaya ‘Bambo’, Martin Tin White, Maulid Ali ‘Mau Maufundi,’Alex Machejo ‘Bingwa wa Rivasi’ na Mwinshehe ‘Kingwendu’.

Wengine ni Isaya Mwakilasa ‘Wakuvanga’, Mohamed Abdalah James ‘Kinyambe’ na Silvester Mjuni ‘Mpoki’ ambaye wimbo wake ‘Sangazi’ umeshinda tuzo za Kilimanjaro.

Baby Madaha msanii aliyeibukia kutoka mashindano ya BSS na kuwa moja kati ya waigizaji wanaofanya vizuri katika fani zote mbili yaani muziki na filamu, kaigiza filamu za ‘Ray Of Hope’, ‘Nani’, ‘Desperado’ na nyinginezo.

Kati yao, wasanii ambao nyimbo zao zilishika chati ni Sharo Milionea (marehemu sasa). Aling’ara na nyimbo zake kama vile ‘Changanya Changanya’ na ‘Chuki Bure’.

Pia mchekeshaji Masanja Mkandamizaji naye anatamba kwa kuimba nyimbo za Injili na kuendelea kutesa katika fani ya uimbaji.

Albamu ya Isiah Mwakilasa ‘Wakuvanga’ inaitwa Kato na ina nyimbo nane, msanii huyo ni mmoja kati ya wanaounda kundi la Orijino Komedi.

Yeye pamoja na kutoa albamu, pia ameweza kutoa ajira kwa vijana wanaotembeza kuuza albamu hiyo kwa wananchi.

Marehemu Sharo Milionea baada ya kufanya vema katika uchekeshaji na kushiriki katika filamu ya Safari za Adili,  aliibuka na kutesa katika muziki hadi mauti yalipomkuta.

Wasanii wengine wa filamu wanaoimba ni pamoja na Simon Mwakipagata ‘Rado’, Rose Ndauka, Aunty Ezekiel, Dokii na  Mzee Mgari ambaye kaibuka hivi karibuni na wimbo ‘Dar Raha’.

Masanja Mkandamizaji yeye alitoa albamu ya Hakuna Jipya akiimba Injili na kufanikiwa kuwateka wapenzi wa muziki huo.

Mwigizaji mwingine anayeimba akitokea katika kundi la Scopion Girl ni Miliam Jolwa ‘Jini Kabula’. Msanii huyu akiwa na kundi hilo, alifanikiwa kurekodi wimbo wa ‘Mapenzi Nini’.

Dokii ambaye ni mwigizaji na mtayarishaji, ameigiza filamu nyingi kama vile ‘My Nephew’, ‘Money Transfer’ na ‘Sister wa Bush’, yeye alitumia ziara ya Rais wa Marekeni, Barrack Obama, nchini Tanzania kutoa kibao.

Wimbo huo ‘Welcome Obama’ ulipata chati kubwa wakati wa ziara hiyo hivi karibuni.

Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameshiriki filamu kama ‘Tifu la Mwaka’, ‘Zawadi’ na nyinginezo na hakuna aliyeamini kama anaweza kutamba katika muziki pia.

Lakini majibu yamepatikana baada ya kuimba nyimbo za ‘Lawama’, ‘Dume Dada’, ‘Paka La Bar’ na ule wa ‘Nakomaa na Jiji’.

Msanii Snura Anton Mushi kaigiza filamu za ‘Hitimisho’, ‘Mfalme Seuta’, ‘Zinduna’ na nyinginezo, katika muziki pia ametamba na kibao cha ‘Shoga Yake Mama’ na sasa anatamba na wimbo ‘Majanga’.

Lakini hali ni tofauti kwa wasanii wa muziki walioingia katika filamu. Ni Hemed Suleiman pekee tu ndiye angalau ameweza kufanya vizuri. Hemed ameshiriki filamu nyingi na kuwa pacha wa msanii Yusuf Mlela.

Wasanii wa muziki waliowahi kuigiza ni Chege na Mh.Temba ambao wameshiriki katika filamu za ‘Dar Moro’ na ‘Papaa’.

Akina GK, AY, Juma Mchopa ‘Jay Mo’ waliwahi kuigiza katika filamu ya Girlfriend, marehemu Albert Mangwea na Dark Master nao walishiriki filamu ya Copy.

Pia kuna akina Izzo Business, Dully Skyes, Queen Darlin, Linah nao wameshiriki katika uigizaji, lakini bado hawajateka tasnia hiyo ya filamu.

By MYOVELA MFWAISA

Atimuliwa Big Brother

Kabla ya kugombana na Elikem, Ijumaa iliyopita, Nando amekuwa na tabia ya kubeba vitu vya hatari mfukoni akiwa kwenye sherehe mbalimbali zilizokuwa zikifanyika ndani ya jumba hilo

 Nando

MSHIRIKI machachari katika mashindano ya Big Brother The Chase, Amil Khan maarufu kama Nando, juzi Jumapili usiku alitimuliwa kwenye jumba hilo baada ya kuingia na mkasi chumbani alipogombana na Elikem wa Ghana hali iliyowafanya waandaaji kuingiwa hofu.

Akizungumza na Mwanaspoti, Meneja Uhusiano wa Multichoice Tanzania, Barbara Kambogi alisema ofisi yake imepokea taarifa hizo na kwamba mwakilishi huyo wa Tanzania alivunja masharti ya mchezo huo kwa kuhatarisha uhai wa mshiriki mwenzake Elikem.

“Nando amekuwa na tabia ya kubeba vitu hatarishi mara kwa mara, waandaaji wa mashindano walituvumilia kwa mara ya kwanza alipokutwa na kisu kwenye sherehe ya Channel O mwezi uliopita, lakini baadaye amegombana na mwenzake anaahidi kumuua, ule mkasi aliobeba kwenda nao chumbani ni kithibitisho,” alisema Kambogi.

Kambogi alisema bado haijafahamika rasmi ni lini Nando atarejea nchini kwani kwa sasa lazima atafutiwe mwanasaikolojia ili aweze kurudishwa katika hali yake ya kawaida.

Kabla ya kugombana na Elikem, Ijumaa iliyopita, Nando amekuwa na tabia ya kubeba vitu vya hatari mfukoni akiwa kwenye sherehe mbalimbali zilizokuwa zikifanyika ndani ya jumba hilo.

Baada ya kukutwa na kisu mwezi uliopita kwenye sherehe ya Channel O, Biggie(kiongozi wa jumba) alimwita na kumpa onyo la kwanza, lililohusu ukiukwaji wa sheria za mashindano kwa kutembea na silaha.
Ijumaa iliyopita, Nando aligombana na Elikem na kupeana maneno makali. Hilo lilikuwa kosa la pili kwa Nando.

Kama haitoshi Nando alisema “  Najisikia kama nimchome kisu, mtu kama huyu anastahili kufa,” baadaye kamera zilimnasa Nando akichukua mkasi na kwenda nao chumbani kisha aliuweka chini ya mto wake, tukio hilo lilihatarisha usalama kwa Elikem.

Aliitwa katika chumba cha maulizo na kusomewa mashtaka yake matatu na kisha aliambiwa afungashe virago kwa ajili ya kutoka katika jumba hilo mara moja. Elikem naye alipewa onyo la kwanza na endapo atavunja kanuni na masharti ya mchezo huo atatolewa mara moja.

Big Brother alisema kuwa kitendo cha Nando hakistahili kuvumiliwa kwani kuendelea kubaki na mshiriki kama huyo ni kuhatarisha maisha ya washiriki wengine ndani ya jumba hilo.

Annabel kutoka Kenya na Sulu wa Zambia waliaga mashindano Jumapili usiku.

Mwaka 2011, Mtanzania Lotus Kyamba pia aliondolewa Big Brother kwa kumpiga mtu.

By HERIETH MAKWETTA

Mugabe, Tsvangirai leo

 Alisema orodha ya wapiga kura siyo nyaraka za siri hivyo zilipaswa kutolewa mapema ili kila mpigakura aone jina lake.


Harare. Wazimbabwe leo wanapiga kura kumchagua Rais na wabunge watakaoliongoza taifa hilo kwa miaka mitano ijayo.

Katika uchaguzi huo, Rais anayemaliza muda wake, Robert Mugabe anatetea kiti chake akichuana na mpinzani wake wa siku nyingi, Waziri Mkuu, Morgan Tsvangirai. Uchaguzi huo unafanyika huku Mugabe ambaye kupitia chama chake cha Zanu-PF akiwa ametawala kwa miaka 33, akipewa nafasi kubwa ya kumshinda Tsvangirai wa chama cha Movement for Democratic Change (MDC).

Mwangalizi Mkuu wa Uchaguzi kupitia Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (Sadc), Bernard Membe alisema ana taarifa kuwa orodha ya majina ya wapiga kura haijawekwa wazi tangu juzi, ikiwa ni siku mbili kabla ya uchaguzi wa leo.

Membe ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania, alisema ameshangazwa na hatua hiyo ya kutowekwa wazi orodha ya wapigakura katika baadhi ya vituo.

Alisema orodha ya wapiga kura siyo nyaraka za siri hivyo zilipaswa kutolewa mapema ili kila mpigakura aone jina lake.

“Orodha inatakiwa itolewe ili watu waione na kuhakiki majina yao, pia kujua vituo wanavyotakiwa kupigia kura,” Membe alikaririwa na BBC Focus on Africa akisema.

Tayari MDC kimetishia kwenda mahakamani kutokana na ucheleweshaji huo unaoweza kutia doa uchaguzi. Katibu Mkuu wa MDC, Tendai Biti alisema chama hicho kitachukua hatua za kisheria dhidi ya Tume ya Uchaguzi Zimbabwe (Zec) ili kupata uhakika wa orodha hiyo. Uchaguzi wa leo huenda ukamaliza muda wa Serikali ya mseto baina ya Zanu-PF na MDC.

Mugabe ameiongoza Zimbabwe tangu ilipopata uhuru mwaka 1980. Alilazimika kuingia kwenye Serikali ya mseto baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2009 kutokana na shinikizo la Sadc ili kumaliza mzozo wa kisiasa uliokuwapo nchini humo.

Polisi 10,000

Ili kudhibiti usalama katika uchaguzi huo, zaidi ya polisi 10,000 wamesambazwa kwenye vituo mbalimbali vya kupigia kura. Redio ya Serikali ilitangaza jana jijini Harare kuwa polisi zaidi wamepelekwa Jimbo la Midlands wakiwa na silaha kadhaa zikiwamo bunduki na mabomu ya machozi. Pia ulinzi umeimarishwa katika maeneo ya katikati ya Harare, Highfield na Mbare.

Wafuasi wa Tsvangirai wameanza kushangilia katika maeneo ya wilaya mbalimbali hata kabla ya kupiga kura huku wengine wakiimba kwa kukumbuka ghasia za mwaka 2008, zilizosababisha wafuasi zaidi ya 200 wa MDC kuuawa.

Jino kwa jino

Pamoja na kura za maoni, ni vigumu kubashiri kama Tsvangirai (61) anayewania urais kwa mara ya tatu atamwangusha Mugabe (89).

Kila upande unajinasibu kupata ushindi na kwa hali ilivyo, ni wazi kuwa yeyote anaweza kuibuka mshindi na kupewa ridhaa ya kuwaongoza Wazimbabwe milioni 13. Waangalizi 500 wa kimataifa na 7,000 wa nchi hiyo, wamesema wana imani kuwa matokeo yatatangazwa ndani ya siku tano au chini ya hapo.
Kasoro zajitokeza

Zaidi ya polisi 63,000 na watumishi wa Serikali waliruhusiwa kupiga kura wiki mbili kabla. Hata hivyo, theluthi walishindwa kutokana na karatasi za kura kutofika vituoni kwa wakati.Pia Idadi iliyotajwa ya watu milioni 6.3 waliojiandikisha kupiga kura, imeanza kupigiwa kelele na MDC ikisema ni ndogo na kwamba inaweza kuwa kubwa zaidi ya hapo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ahitimisha ziara yake Mkoani Kagera - July 29, 2013



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea mchana huu na viongozi mbalimbali wa kitaifa na wa mkoa wa Kagera wakati wa kikao cha majumuisho baada ya kuhitimisha kwa mafanikio makubwa ziara yake ya kikazi ya siku sita 
Mkoani humo.



















MUHIDIN MICHUZI at Monday, July 29, 2013




TAIFA Stars yarejea nchini kwa kupitia KILIMANJARO



Wachezaji wa Stars wakiwa wamepumzika nje ya hotel ya Nyumbani mjini Moshi.
 
Wachezaji wa Stars.


Meneja wa timu ya Taifa Leopord Tasso Mukebezi akitambulisha mashabiki wa Stars kwa wachezaji wa timu hiyo.

Wachezaji wa Stars wakiingia kwenye gari tayari kuelekea uwanja wa ndege KIA kurejea jijini Dar es salaam.


 TIMU ya taifa ya Tanzania Taifa stars imerejea leo jioni nchini ikitokea Uganda ambako ilikuwa na mchezo wa marejeano wa kufuzu kucheza fainali za wachezaji wanaocheza ligi za ndani (CHAN)

 Kikosi hicho kimerejea majira ya saa 10:00 Jumapili jioni na ndege ya Precision na kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro ambako walipokelewa na viongozi mbalimbali wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro.

 Msafara wa timu hiyo uliondoka uwanjanai hapo na kuelekea katika hotel ya Nyumbani iliyopo mjini Moshi ambako kulikuwa kumeandaliwa chakula na mapumziko kabla ya kwenda kupanda ndege kurejea jijini Dar es salaam.

 Hata hivyo licha ya kipigo cha bao 3 kwa 1 kutoka kwa timu ya Uganda mashabiki wa soka katika mji wa Moshi walijitokea katika hotel hiyo kusalimiana na wachezaji huku baadhi wakionesha kusikitishwa na matokeo hayo.

 Na Dixon Busagaga,wa Globu ya Jamii Moshi.

NAIBU WAZIRI WA MAJI AKAGUA MIRADI YA MAJI ROMBO


Naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge akikagua miradi ya maji katika wilaya ya Rombo.

Mhandisi wa maji wilaya ya Rombo Andrew Tesha akitoa maelezo kwa naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge alipotembelea miradi ya maji katika wilaya hiyo.

 Naibu waziri wa maji Dk Mahenge akikagua mradi wa maji wa kilichopo eneo la hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA)

Naibu waziri Dk Mahenge akizungumza na mhandisi wa maji wilaya ya Rombo Andrew Tesha alipotembelea kisima cha maji katika kijiji cha Ushiri.


WIZARA ya maji,imeelezea kutoridhishwa kwake na uendeshaji wa kampuni ya usambazaji maji wilayani Rombo ya Kiliwater kwamba haijajipanga kibiashara na ingeweza kupata faida kubwa kuliko hali waliyonayo sasa kama wangekuwa makini.

Naibu waziri wa maji Dk Binillith Mahenge alitoa kauli hiyo baada ya kupokea taarifa ya kampuni hiyo kuhusu usambazaji wa huduma za maji na mipango yao katika ununuzi wa mita kwa ajili ya kuwafungia wateja wao.

“Kwa mipango hii mliyonayo kama kampuni hii ingekuwa imekabidhiwa mfanyabiashara yeyote makini,angeshindwa kupata faida?” alihoji huku mwenyekiti wa bodi ya kampuni hiyo, Silayo akikiri kwamba faida ingepatikana.

Aliitaka kampuni hiyo kujipanga upya kwani wanayo fursa ya kupata faida kama wakijitahidi kupunguza maji yanayopotea lakini pia
kuhakikisha wanaondokana na mfumo wa ulipaji anka kwa ‘Flat rate’ bali wawafungie wateja mita za maji.

“Huu mfumo wenu wa watu wote kulipa maji kwa viwango sawa unawapotezea mapato, wapo wanaoyatumia kwa ajili kumwagilia migomba kasha watalipa sh 3,000 kwa mwezi, ninyi mnaona hilo ni sahihi,badilikeni”alisema.

Katika baarifa yake kwa naibu waziri meneja wa Kiliwater, Prosper Kessy alisema uzalishaji wanakabiliwa na uzalishaji mdogo wa maji usiokidhi mahitaji kwani upo upungufu wa mita za ujazo 13,000 sawa na lita 13,000,000 kwa siku.

Alisema pia wanakabiliwa nupungufu wa mita za ujazo 22,000 sawa na litaza ujazo 22,000,000 wakati wa kiangazi na hivyo kuongeza tatizo la maji kwa wateja wake.

“Kiwango kikubwa cha asilimia 78 ya maji yasiyouzwa kutokana na uchakavu wa miundombinu,wazi wa maji,wateja wasio na mita na wale wenye mita lakini hutumia maji kiholela”alisema. Hata hivyo alisema kampuni hiyo inahitaji zaidi y ash milioni 600 kwa ajili ya kuwafungia mita wateja wake kama njia moja wapo ya kuongeza mapato


Habari na Picha Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Moshi.

UZINDUZI WA UJENZI WA BARABARA YA KAGOMA-LUSAHUNGA WILAYANI BIHARAMULO


Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha na mawaziri anaoongozana nao pamoja na viongozi wa mkoa wa Kagera wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi kwa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kagoma-Lusahunga wilayani Biharamulo, mkoa wa Kagera

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha na viongozi wa CCM wa mkoa wa Kagera wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi kwa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kagoma-Lusahunga wilayani Biharamulo, mkoa wa Kagera

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha na mawaziri anaoongozana nao pamoja na viongozi wa TANROADS  wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi kwa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kagoma-Lusahunga wilayani Biharamulo, mkoa wa Kagera

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha na mawaziri anaoongozana nao pamoja na wafanyakazi wa TANROADS  wa mkoa wa Kagera wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi kwa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kagoma-Lusahunga wilayani Biharamulo, mkoa wa Kagera

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha na mawaziri anaoongozana nao pamoja na viongozi wa kampuni za ujenzi wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi kwa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kagoma-Lusahunga wilayani Biharamulo, mkoa wa Kagera

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha na mawaziri anaoongozana nao pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi kwa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kagoma-Lusahunga wilayani Biharamulo, mkoa wa Kagera

RAIS KIKWETE WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA - JULY 27, 2013

Rais Kikwete akiwasalimia wananchi wa Kijiji cha Rulenge,Wilayani Ngara wakati akiwasili kwenye kiwanja cha kijiji hicho tayari kwa kuzungumza nao ikiwa ni sehemu ya Ziara yake ya Kikazi Mkoani Kagera
Rais Kikwete akiwapungia mkono wakazi wa kijiji cha Rulenge,Wilayani Ngara wakati akiwasili
Rais Kikwete akiwapungia mkono wakazi wa kijiji cha Rulenge,Wilayani Ngara wakati akiwasili kwenye kiwanja cha kijiji hicho tayari kwa kuzungumza nao ikiwa ni sehemu ya Ziara yake ya Kikazi Mkoani Kagera
Rais Kikwete akihutubia umati mkubwa wa wananchi wa Wilaya ya Ngara,Mkoani Kagera wakati wa Muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi Mkoani Kagera.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Prof Anna Tibaijuka akielezea baraza la ardhi.
Kushoto ni Rais Kikwete akisikiliza kwa Makini.
Waziri wa Kilimo,Inj. Christopher Chizza akielezea mipango kabambe ya kilimo kwa wakazi wa Ngara.Kushono ni Rais Kikwete akisikiliza kwa Makini.
Waziri wa Maji,Prof. Jumanne Maghembe akilieleza mipango kabambe ya maji.Kushono ni Rais Kikwete akisikiliza kwa Makini.
Waziri wa Nishati na Madini,Prof. Sospeter Muhongo akieleza mikakati mbali mbali ya nishati ya Umeme.Kushono ni Rais Kikwete akisikiliza kwa Makini.
Umati wa watu ukimsikikliza Rais Kikwete kijiji cha Rulenge,Wilayani Ngara.PICHA NA IKULU.


Ousted Egypt leader Mohammed Morsi well - EU's Ashton



Catherine Ashton: "I don't know where [Morsi] is"

EU Foreign Policy Chief Catherine Ashton says Egypt's ousted President Mohammed Morsi is "well", but that she does not know where he is being held.

Baroness Ashton had two hours of "in-depth" discussions with Mr Morsi on Monday, but declined to give details of what he had told her, insisting: "I'm not going to put words in his mouth."

She said Mr Morsi had access to TV and newspapers and followed developments.

Mr Morsi has been detained since he was overthrown by the military on 3 July.

Baroness Ashton's second visit to Egypt in 12 days comes after more than 70 Morsi supporters were killed in clashes with security forces on Saturday.

The ousted leader's allies have said they are planning a major protest in Cairo on Tuesday, and the interim government has warned that any violation of the law will be dealt with "firmly".

Security officials have also threatened to dismantle the main protest sit-in at a square near the Rabaa al-Adawiya mosque in the capital's north-east, where Saturday's deadly clashes erupted.
Helicopter

Lady Ashton told the BBC that after a night journey involving a helicopter ride and other forms of transport, she met Mr Morsi at a military facility.

She said the deposed president was in "good health" and "good humour".

Mr Bean - Back to school

Written By CCMdijitali on Sunday, July 28, 2013 | July 28, 2013

Hair by Mr Bean

<iframe width="530" height="360" src="http://www.youtube.com/embed/EoYAic35n0Y?feature=player_embedded" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>

Mr Bean - Department Store

<iframe width="530" height="360" src="http://www.youtube.com/embed/4YrSmOEFKHE?feature=player_embedded" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>

Citroën Rosalie, the first diesel passenger car


Citroën Rosalie, the first diesel passenger car
    Roundabout 1932, Andre Citroën, whose company was at the time drowning in debt, contracted the renowned British engine designer Harry Ricardo to create diesel-powered versions of Citroën motor cars, specifically the Traction Avant’s predecessor, the Rosalie. Prototypes showed great promise, but it was too late. In December 1934, Citroën fell into bankruptcy, and Michelin, its cautious primary shareholder, killed the oil-burning Rosalie. (Photo: PSA Peugeot Citroën)
    Roundabout 1932, Andre Citroën, whose company was at the time drowning in debt, contracted the renowned British engine designer Harry Ricardo to create diesel-powered versions of Citroën motor cars, specifically the Traction Avant’s predecessor, the Rosalie. Prototypes showed great promise, but it was too late. In December 1934, Citroën fell into bankruptcy, and Michelin, its cautious primary shareholder, killed the oil-burning Rosalie. (Photo: PSA Peugeot Citroën)


The nerve centre


The nerve centre
    Ford engineers can monitor up to eight vehicles circulating on the test track at a given time. (Ford Motor)


Connected



Connected


Each vehicle interfaces with radio and wi-fi antennas scattered around the proving grounds, allowing engineers to pinpoint vehicles remotely. (Ford Motor) 


 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link