Home » » KATIBU MWENEZI WA CCM WILAYA YA ARUSHA AONGEA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA KATA NA MATAWI CCM KATA YA LEVOLOSI

KATIBU MWENEZI WA CCM WILAYA YA ARUSHA AONGEA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA KATA NA MATAWI CCM KATA YA LEVOLOSI

Written By CCMdijitali on Tuesday, January 20, 2015 | January 20, 2015

 KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA  NDG JASPER KISHUMBUA -KUSHOTO, NA MWENYEKITI WA CCM KATA YA LEVOLOSI NDG SANGITO SUMARI WAKIIMBA NYIMBO ZA CHAMA .
KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA  NDG JASPER KISHUMBUA -KUSHOTO, AKISISITIZA JAMBO WAKATI AKIONGEA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA KATA NA MATAWI LEO, KATIKA UKUMBI WA SCANDIVIA KULIA NI MWENYEKITI WA CCM KATA YA LEVOLOSI NDG SANGITO SUMARI NA KAIMU KATIBU NA KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM  KATA YA LEVOLOSI NDG ABUBAKAR NYANGU WAKISIKILIZA KWA MAKINI. 

 MUASISI WA CHAMA CHA MAPINDUZI MZEE MOHAMED KITANGA (aliyevaa miwani) PAMOJA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA KATA NA MATAWI WAKISILIZA KWA MAKINI NASAHA ZA KATIBU WA SIASA NA UENEZI WAKATI AKIONGEA NAO LEO.
 NDG FATUMA ABDALLAH KATIBU WA UVCCM KATA YA LEVOLOSI (liyevaa kofia) AKIFUATIWA NA NDG AMINA MRISHO MJUMBE HALMASHAURI KUU YA WIALYA YA ARUSHA MARA BAADA YA KIKAO MARA BAADA YA KIKAO.

KUSHOTO- KULIA NI BAADHI YA VIONGOZI NDG RAHMA MSAFIRI KATIBU WA UWT NA KATIBU MWENEZI WA TAWI LA LEVOLOSI, NDG FATUMA ABDALLAH KATIBU WA UVCCM KATA YA LEVOLOSI (liyevaa kofia) AKIFUATIWA NA NDG AMINA MRISHO MJUMBE HALMASHAURI KUU YA WIALYA YA ARUSHA MARA BAADA YA KIKAO.
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link