Home » » KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AMALIZA ZIARA KATIKA JIMBO LA UZINI MKOA WA KUSINI UNGUJA

KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AMALIZA ZIARA KATIKA JIMBO LA UZINI MKOA WA KUSINI UNGUJA

Written By CCMdijitali on Tuesday, January 20, 2015 | January 20, 2015

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akishirikiana na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu Vuai Ali Vuai kumwaga zege la linta kwenye jengo la CCM Dunga. 
Katibu Mkuu,Ndugu Kinana akipokelewa  mkoa wa Kusini Unguja
  Injinia Heri Tumaini Mkurugenzi wa kampuni ya CHECOTEC (T) LTD inayojenga barabara katika jimbo la Chwaka akishukuru na kuzungumza maneno yenye hisia ya furaha yake kwa kukutana na katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Sehemu ya Umati wa watu wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Tunduni,Jimbo la Uzini,Mkoa wa Kusini Unguja
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Tunduni jimbo la Uzini.
 Sehemu ya Umati wa watu waliofika kwenye mkutano wea hadhara uliofanyika katika kijiji cha  Tunduni,Jimbo la Uzini,Mkoa wa Kusini Unguja.PICHA NA MICHUZI JR-KUSINI UNGUJA-ZANZIBAR
 Mbunge wa jimbo la Uzini Mh. Mohamed Seif Khatib akiwahutubia wananchi wa jimbo la Uzini katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Tunduni.
 Mfuasi wa CHADEMA,Bi.Fatma Hassan akikabidhi kadi yake kwa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana na kujiunga na chama hicho,ambapo wanachama watano wa CHADEMA walirudisha kadi na kujiunga na CCM.
 Baadhi ya Wanachama wapya wakila kiapo
 Baadhi ya wananchi na wafuasi wa CCM wakinyoosha mikono yao juu kuashiria kuiunga mkono na kuipitisha Katiba mpya iliyopendekezwa.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Tunduni wakati wa mkutano wa hadhara,jimbo la Uzizi  Mkoa kwa Kusini Unguja.

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link