Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya
Kikwete, akimwapisha George Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati
wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya
Kikwete, akisaini nyaraka wakati wa hafla fupi ya kumwapisha, George Mcheche,
kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kwenye hafla hiyo iliyofanyika Ikulu jijini
Dar es Salaam, leo mchana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya
Kikwete, akimkabidhi nyaraka za Serikali, George Mcheche, baada ya kumwapisha
kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo mchana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, (wa kwanza kutoka kulia) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,
Spika wa Bunge la Jamhuri, Anne Makindajaji Mkuu, Jaji Mkuu wa Tanzania,
Mohamed Chande Othuman, Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt.
Asha-Rose Migiro na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Mcheche, aliyeteuliwa,
wakiwa katia ukumbi wakisubiri zoezi hilo la kuapishwa.
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na viongozi wa ngazi za juu.
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na wakuu wa Ulinzi na usalama.
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na wanafamilia wa Bw. George.
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya wafanyakazi
wenzake.
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya wafanyakazi Tume
ya Sheria.Picha na OMR.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali aliyekuwa akisubiri kuapishwa,
George Mcheche, akizungumza jambo na viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama,
wakati wa hafl hiyo.
Baadhi ya viongozi waliohudhuria hafla hiyo.