Home » » UZINDUZI WA KAMPENI YA CCM KATA YA LEVOLOSI

UZINDUZI WA KAMPENI YA CCM KATA YA LEVOLOSI

Written By CCMdijitali on Friday, September 18, 2015 | September 18, 2015


Baadhi ya wakereketwa wa CCM Kata ya Levolosi wakishindwa kuficha hisia zao pembeni ni Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Kata ya Levolosi Ndg Abubakar H. Nyange   kwenye mkutano uliohudhuriwa na mamia ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliojitokeza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Levolosi , kwenye Viwanja vya Samunge maeneo ya Soko la Kilombero.
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link