Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala akiongea na Viongozi wa CCM Kata ya Moivaro leo.
Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala akisalimiana na Mama Nico , alipokutana na wanachama wa CCM Kata ya Moivaro leo.
Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala akiongea na Viongozi wa CCM , Kata ya Moivaro leo.
Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala akiongea na Viongozi wa CCM , Kata ya Moivaro leo.
Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala akiongea na kusisitiza jambo wakati alipokutana na Viongozi wa CCM , Kata ya Moivaro leo.
Meza kuu, Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala ,Mwenyekiti wa CCM Kata ya Moivaro , Kata ya Moivaro leo.
Madiwani wa Viti maalum wa CCM Kata ya Moivaro, katika kikao cha viongozi wa CCM Kata ya Moivaro leo.
Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Jamal Kimji akiwa ameongozana an Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala (aliyesimama) katika kikao cha viongozi wa CCM Kata ya Moivaro leo.
Baadhi ya Viongozi wa CCM Kata ya Moivaro, wakimsikiliza kwa makini Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala katika kikao cha viongozi wa CCM Kata ya Moivaro leo.
Katibu wa CCM Kata ya Moivaro Ndg Charles na mgombea Udiwani wa CCM Ndg Medodi katika kikao cha Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala.
Mgombea Udiwani wa CCM Ndg Medodi akiongea na viongozi wa CCM katika kikao cha Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala kilichofanyika leo katika Kata ya Moivaro.
Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala akimshukuru Mama Nico ,mara baada ya kikao, alipokutana na wanachama wa CCM Kata ya Moivaro leo.
Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Ndg Jasper Kishumbua