Home » » RAIS KIKWETE WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA - JULY 27, 2013

RAIS KIKWETE WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA - JULY 27, 2013

Written By CCMdijitali on Tuesday, July 30, 2013 | July 30, 2013

Rais Kikwete akiwasalimia wananchi wa Kijiji cha Rulenge,Wilayani Ngara wakati akiwasili kwenye kiwanja cha kijiji hicho tayari kwa kuzungumza nao ikiwa ni sehemu ya Ziara yake ya Kikazi Mkoani Kagera
Rais Kikwete akiwapungia mkono wakazi wa kijiji cha Rulenge,Wilayani Ngara wakati akiwasili
Rais Kikwete akiwapungia mkono wakazi wa kijiji cha Rulenge,Wilayani Ngara wakati akiwasili kwenye kiwanja cha kijiji hicho tayari kwa kuzungumza nao ikiwa ni sehemu ya Ziara yake ya Kikazi Mkoani Kagera
Rais Kikwete akihutubia umati mkubwa wa wananchi wa Wilaya ya Ngara,Mkoani Kagera wakati wa Muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi Mkoani Kagera.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Prof Anna Tibaijuka akielezea baraza la ardhi.
Kushoto ni Rais Kikwete akisikiliza kwa Makini.
Waziri wa Kilimo,Inj. Christopher Chizza akielezea mipango kabambe ya kilimo kwa wakazi wa Ngara.Kushono ni Rais Kikwete akisikiliza kwa Makini.
Waziri wa Maji,Prof. Jumanne Maghembe akilieleza mipango kabambe ya maji.Kushono ni Rais Kikwete akisikiliza kwa Makini.
Waziri wa Nishati na Madini,Prof. Sospeter Muhongo akieleza mikakati mbali mbali ya nishati ya Umeme.Kushono ni Rais Kikwete akisikiliza kwa Makini.
Umati wa watu ukimsikikliza Rais Kikwete kijiji cha Rulenge,Wilayani Ngara.PICHA NA IKULU.


Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link