Home » » Mheshimiwa Jaji Augustino Stephen Lawrence Ramadhani , apokelewa na mamia ya Wanachama Jijini Arusha leo.

Mheshimiwa Jaji Augustino Stephen Lawrence Ramadhani , apokelewa na mamia ya Wanachama Jijini Arusha leo.

Written By CCMdijitali on Tuesday, June 23, 2015 | June 23, 2015

Ataja sifa za Rais :

  • Awe mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi

  • Awe na Uzoefu wa Uongozi

  • Awe Muaadilifu na asiwe na waa lolote.

  • Awe jasiri wa kuweza kufanya maamuzi na wakati mwingine magumu.

  • Awe mchapa kazi,

  • Awe mchapa kazi

Mheshimiwa Jaji Augustino Stephen Lawrence Ramadhani akipokea  fomu zake za udhamini leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha mara baada kuthibitishwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruz Bano.
Mheshimiwa Jaji Augustino Stephen Lawrence Ramadhani akiwasili Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha leo ,akiwa anaongozwa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha na Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha.
Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruzi Bano akimueleza jambo Mheshimiwa Jaji Augustino Stephen Lawrence Ramadhani ,alikowasili  kupokea fomu zake za udhamini leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli akimkaribisha Mheshimiwa Jaji Augustino Stephen Lawrence Ramadhani ,leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.

Mheshimiwa Jaji Augustino Stephen Lawrence Ramadhani akiongea na akiongea na waandishi wa habari pamoja na kujibu maswali leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.

Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruzi Bano akimkaribisha Mheshimiwa Jaji Augustino Stephen Lawrence Ramadhani ,pamoja na kumkabidhi fomu za udhamini mara baada ya kuthibitisha leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.

 Mheshimiwa Jaji Augustino Stephen Lawrence Ramadhani akiongea na waandishi wa habari  leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
 Mheshimiwa Jaji Augustino Stephen Lawrence Ramadhani akiongea na wanachama waliojitokeza kwa wingi kumlaki na kusikiliza sera zake,mara baada kupokea fomu zake za udhamini leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.

Baadhi ya wanachama wa CCM waliojitokeza kumlaki katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha leo.

Baadhi ya wanachama wa CCM waliojitokeza kumlaki katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha leo.
 Baadhi ya wanachama wa CCM waliojitokeza kumlaki katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha leo.
 Baadhi ya Waandishi wa habari ,wakimsubiri Mheshimiwa Jaji Augustino Stephen Lawrence Ramadhani, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha leo.

 Mheshimiwa Jaji Augustino Stephen Lawrence Ramadhani akisalimiana na Mohamed pamoja na jamaa na ndugu waliojitokeza kwa wingi kumlaki na kusikiliza sera zake,mara baada kupokea fomu zake za udhamini leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
 Mheshimiwa Jaji Augustino Stephen Lawrence Ramadhani akisalimiana na Ndg Ibrahim Mohamed pamoja na  jamaa na ndugu waliojitokeza kwa wingi kumlaki na kusikiliza sera zake,mara baada kupokea fomu zake za udhamini leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
 Mheshimiwa Jaji Augustino Stephen Lawrence Ramadhani akisalimiana na jamaa na ndugu waliojitokeza kwa wingi kumlaki na kusikiliza sera zake,mara baada kupokea fomu zake za udhamini leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
Baadhi ya wanafamilia wakiwa katika viwanja vya CCM Wilaya ya Arsuah leo
.
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link