Home » » Bi Samia Suluhu Hassan katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha.

Bi Samia Suluhu Hassan katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha.

Written By CCMdijitali on Saturday, August 29, 2015 | August 29, 2015


Mgombea Mwenza wa CCM Bi. Samia Othuman Suluhu , Katibu wa Mkoa CCM Mkoani Arusha Ndg Alphonce Kinamhala akifuatiwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT, Bi Amina Makilagi aliyempakata mtoto akifuatiwa na Mjumbe wa Baraza Kuu la WAZAZI Taifa,
 Ndg Ntibenda,wakiwa katika Kata ya Namanga ,Wilayani Longido
Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano uliofanyika katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.

Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan akiongea na wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano uliofanyika katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.

Wananchi wakiusimamisha msafara wa Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan wakati akielekea katika Mkutano ,katika Kata ya Namanga Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.

Msafara wa Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan ukiwasili kwenye eneo la Mkutano katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Msafara wa Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan ukiwasili kwenye Mkutano eneo la  katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Ngoma ya asili katika eneo la Mkutano, katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
 Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi Viongozi mara baada ya kuwasili kwenye Mkutano uliofanyika katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Meza kuu, Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan,kushoto kwake ni Mgombea Ubunge Jimbo la Longido Dk Steven Lemomo, Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala,Mbunge mtaafu Mzee Lekule Laiser wakiwa katika Mkutano uliofanyika  katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Baadhi ya Viongozi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa waliongozana na  Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan wakiwa kwenye mkutano uliofanyika Namanga (Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Wilaya ya Rombo,Mjumbe wa Baraza la UWT Taifa Bi Halima Mamuya na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Bi Angela Kariuki -Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi,katika Mkutano uliofanyika katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Baadhi ya Viongozi  waliongozana na Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan wakiwa kwenye mkutano uliofanyika Namanga,Bi Catherine Magige (Mbunge Mteule wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, kupitia UWT  na Bi Wanu Hafidh Ameir,katika eneo la  Mkutano uliofanyika katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Msoma shairi kwa Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan  kwenye  eneo la Mkutano uliofanyika katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Baadhi ya Viongozi waliongozana na Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan wakiwa kwenye mkutano uliofanyika Namanga,Bi Esther Mambali na Bi Wanu Hafidh Ameir,katika eneo la Mkutano uliofanyika katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.


Ilikuwa ni raha kila mahali kwenye mkutano wa  Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan  uliofanyika katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.



Katibu Mkuu wa UWT Taifa Bi Makilagi akiwa na mgombea Ubunge Jimbo la Longido Dk Steven Lemomo katika mkutano wa Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan ,katika eneo la Mkutano uliofanyika katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.

Hali katika eneo la Mkutano uliofanyika katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.

Mbunge mstaafu Mzee Lekule Laizer katika mkutano wa  Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan , uliofanyika katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - 
Jasper Kishumbua.
Bi Ummy Mwalimu Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria katika mkutano wa Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan , uliofanyika katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.


Katibu Mkuu wa UWT Taifa Bi Makilagi akiwa amempakata mtoto katika mkutano wa Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan ,katika eneo la Mkutano uliofanyika katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan akiongea na wananchi waliojitokeza  kwenye Mkutano uliofanyika katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.

Diwani Mteule wa Viti Maalum Bi Eusapahati Ngululu ,akiongea na wananchi  waliojitokeza kwenye Mkutano uliofanyika katika Kata ya Namanga, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Mgombea Mwenza wa CCM Bi. Samia Othuman Suluhu , akiondoka kwenye eneo la Mkutano mara baada ya kumalizika katika Kata ya  Namanga ,Wilayani Longido.
Bi Esther Mambali mjumbe wa Baraza la UWT na UVCCM Taifa akiondoka kwenye eneo la Mkutano mara baada ya kumalizika katika Kata ya Namanga ,Wilayani Longido.
Safari ya kuelekea kwenye Mkutano Kijiji cha Longido, mara baada ya kumalizika katika Kata ya Namanga ,Wilayani Longido.
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link