Katibu Mtendaji wa SADC anayemaliza muda wake Dr.Tomaz Salomao akimpongeza katibu mtendaji mpya wa jumuiya hiyo Dr.Stergomena Tax wakati wa mkutano wa 33 wa wakuu wa nchi za SADC uliofanyika jijini Lilongwe, Malawi.Dr.Stergomena ni katibu Mkuu Wizara ya Afrika Mashariki.