
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais Joyce Banda wa Malawi muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Lilongwe tayari kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za SADC - Augost 16,2013

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mtoto muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Lilongwe tayari kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za SADC - Augost 16,2013.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana nawakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama muda mfupi baada ya kuwasili Lilongwe Malawi kuhudhuria Mkutano wa SADC - Augost 16,2013

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Joyce Banda muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Lilongwe tayari kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za SADC - Augost 16,2013.
Picha na Fred Maro



