Home » » WAZIRI MKUU PINDA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA TPSF- Agosti 16,2013.

WAZIRI MKUU PINDA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA TPSF- Agosti 16,2013.

Written By CCMdijitali on Saturday, August 17, 2013 | August 17, 2013


 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifugua  Mkutano  Mkuu  na Mkutano wa mwaka wa Tanzania Private  sector Foundation (TPSF) kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Agosti 16,2013. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Mary Nagu na katikati na Mkurugenzi Mkuu wa TPSF, Godfrey Simbeye

 Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu na Mkutano wa Mwaka wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua Mkutano wao wa mwaka na Mkutano Mkuu kwenye hgoteli ya Serena jijini Dar es salaam  

 Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu na Mkutano wa Mwaka wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na washiriki wa Mkutano wa mwaka na Mkutano Mkuu wa TPSF baada ya kufungua  kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link