JK atawazwa kuwa mtemi wa Sungusungu Kitaifa
Written By CCMdijitali on Monday, September 9, 2013 | September 09, 2013
Chifu wa Wasukuma Wilaya ya Kwimba Shimbi Martin Morgan akimabidhi silaha za jadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa sherehe za kumtawaza kuwa Mtemi wa Sungusungu Kitaifa, zilizofanyika kijiji Ngudu, Wilayani Kwimba Mkoa wa Mwanza.
Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu
Labels:
KITAIFA