Home » » KATIBU MKUU CCM WAWASILI WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI

KATIBU MKUU CCM WAWASILI WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI

Written By CCMdijitali on Thursday, September 12, 2013 | September 12, 2013

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhfX39QUnaITYpiazUr878f2ryxJRvqfWqw8yrvsiy6A7rsympkyrAb8bSDxlo5EvTr88vqyQvjcKyhyqyFctAS8NY3kccDCQqxvlv-rtHA21X6ZjpaKk4Ur-zl49zxUseP5FeOuGh3ZE26/s1600/1.jpg
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ,Mbunge wa Jimbo la Swola ndugu Ahmed Salum na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakicheza na nyoka aina ya chatu wakati wa mapokezi katika kata ya Didia, Luhambo wilaya ya Shinyanga Vijijini.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh_yL0pLcMl5S0Box6qv3Syv_p4K0nWTCpk5GD7tLsnawdBbdcX5Z4xNrTF6lfVw2GWw8Yj5FWLc6lRFwAs3brFwrG0Hbe9s0TqJJtAse6jmiIXsSlU8mSeWA4DgoTDxgGSA3Z8OmGe_lO6/s1600/2.jpgKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akisalimiana na wanachama wa chama cha Mapinduzi waliokuja kumpokea alipowasili  Wilaya ya Shinyanga Vijijini.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjq8Uo6lhvys-a4zeLDlU8fwSYD98SW2e4CN39M1Lim9K_GJ_ZdfOsVdfuQxE5VOWYdGMKt9_DcbMDzogMTsnVu6-CNtjU0j-Bc6LwsUKfGB5sTWt66AmU3giMIoQBtL7OlB3dnC7SyIdb_/s1600/3.jpgMwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Ndugu Hamisi Mgeja akisalimia wakazi wa Luhambo Didia wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika wilaya ya Shinyanga Vijijini.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgbzyGN0RUf7LdSKxtMDBEjZnCKoKRYKYTBrtMhvn0htm4tJ5Km5t5PYmJAMf-zVTBdw5qHd_RkTnb_RghksuPAXsdRhyfYuEr0SxpJh-QZxdA85fX_8Sw1bnLbCULzTXLHfVzfyxCF9T7b/s1600/4.jpgKatibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimu wakazi wa kata ya Didia na kuwashukuru kwa mapokezi mazuri waliyowapa.
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhKuL2_terXfwKnORC13L_k37jm0tMMWgEUWVGufjDdCO56B226SL2Lk9o9Zr0N2p892OQkz3hvr3o4fxMHlOv0yTbFBchOeO-vRMNbjsoUTT9xZKmG-E3S8JrBDlCoEM0BShX5RL9WPKUt/s1600/6.jpg
Mbunge wa Jimbo la Swola Ahmed Salum akiwasalimu wakazi wa Luhambo Didia wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhRehyLPLJ1YcDQpAbNzbDeAPhFjTwa68rQyPxRHP4UwodqR_gofQ5BU_Olk4H3Y004LQJrIXWTG0tvG_jygiG3KPsaJ-vIVmo0_Ko3oSb0eWba5J7ujNFhaMpnFF_U3DyaOLYnHphhfCf5/s1600/8.jpgKatibu Mkuu wa CCM Taifa akiwashukuru wakazi wa Luhambo Didia kwa mapokezi mazuri.
 
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link