Home » » KINANA ASHUHUDIA MAABARA INAYOTEMBEA WILAYA YA SERENGETI

KINANA ASHUHUDIA MAABARA INAYOTEMBEA WILAYA YA SERENGETI

Written By CCMdijitali on Monday, September 23, 2013 | September 23, 2013

http://1.bp.blogspot.com/-rBNmMzfx9FI/Uj8ymMbFi8I/AAAAAAAAIT4/LH3ElBrnHCo/s1600/10.jpg Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Wazee wa kata ya Isenya wilaya ya Serengeti waliokuja kumpokea.
http://3.bp.blogspot.com/-hM2klp5oLfg/Uj8yyD4v4kI/AAAAAAAAIUA/2y1QpWIxx-U/s1600/11.jpg Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza mwalimu wa masomo ya sayansi Ndugu Silvester Joseph , Katibu Mkuu alitembelea shule ya Natta Secondary na kushuhudia jinsi masomo ya sayansi yanavyopewa kipaumbele.
Mwanafunzi wa Kidato cha Nne Peter Semion wa shule ya sekondari ya Natta iliyopo kata ya Natta wilaya ya Serengeti akimuelekeza namna ya kutengeneza sabuni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipotembelea shule hiyo ya Natta iliyopo wilaya ya Serengeti.
http://3.bp.blogspot.com/-6-RZ_AhjiVk/Uj8y6KtpNzI/AAAAAAAAIUQ/4vCRRiS45SQ/s1600/8.jpg Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na vijana wajasiriliamali wa kuendesha boda boda na ukulima wa mboga mboga mara baada ya kuzindua kikundi hicho ambapo aliwasihi lazima wapate elimu ya biashara wajue namna ya kuweka na kukopa na kulipa madeni kwa wakati.
http://1.bp.blogspot.com/-p8FLmdtdtN8/Uj8y74yxO4I/AAAAAAAAIUY/aHl7RCapw0g/s1600/9.jpg Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoka ndani ya ukumbi wa mkutano wa MUGUMU CCM ambapo alikutana na vijana wajasiriamali wa wilaya hiyo.
http://2.bp.blogspot.com/-UTLiz407h_w/Uj81YR6XLLI/AAAAAAAAIUs/FYGhUJgwuKs/s1600/4.jpg Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Natta mara baada ya kumaliza kikao na balozi wa shina namba 11 Tawi la Natta Majengo.
http://3.bp.blogspot.com/-O_HGbgpSWs4/Uj8zHhWjX4I/AAAAAAAAIUg/k6mEH6dXHHE/s1600/5.jpg Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa shukrani kwa wazee wa Natta baada ya kumpa heshima ya kuwa Mzee wa Natta.
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link