Rais Dkt Jakaya Kiwete akiingia Ritz Calton Hotel wakati alipowasili Washington, DC kwa kuendelea na ziara yake ya nchini Marekani aliyoanzia kwenye miji ya San Francisco na Vallejo, California.
RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI WASHINGTON, DC - September 19, 2013
Written By CCMdijitali on Saturday, September 21, 2013 | September 21, 2013
Rais Dkt Jakaya Kiwete akiingia Ritz Calton Hotel wakati alipowasili Washington, DC kwa kuendelea na ziara yake ya nchini Marekani aliyoanzia kwenye miji ya San Francisco na Vallejo, California.
Labels:
KIMATAIFA