Home » » Wachezaji watakaoshiriki michuano ya Airtel Rising stars nchini Nigeria wakabidhiwa daruga

Wachezaji watakaoshiriki michuano ya Airtel Rising stars nchini Nigeria wakabidhiwa daruga

Written By CCMdijitali on Thursday, September 12, 2013 | September 12, 2013

Afisa uhusiano wa Airtel bi Jane Matinde Akikabithi viatu vya kuchezea mpira kwa wachezaji watakaoshiriki miachuano ya Airtel Rising stars nchini Nigeria itakayoanza jumatatu wiki ijayo na kushirikisha nchi 17 barani Afrika, wakipokea vifaa hivyo ni makaptani wa  timu hizo  Athanas Mdam na Stumai  Athumani. wa pili kushoto ni kocha wa timu ya wavulana ya Airtel Rising Stars Abel Mtweve 

Afisa uhusiano wa Airtel bi Jane Matinde Akikabithi viatu vya kuchezea mpira  kamptaini wa timu ya kike Stumai  Athumani wakati Airtel ilipogawa vifaa kwa timu itakayosafiri kwenda kwenye michuano ya
Airtel Rising stars Nchini Nigeria, Michauno hiyo itashirikisha nchi 17 barani Afrika, wakishuhudia ni kikosi cha timu ya Airtel Rising stars Tanzania

Baadhi ya wachezaji  watakaoshiriki miachuano ya Airtel Rising stars nchini Nigeria wakijaribu viatu mara baada ya kukabithiwa vifaa vya michezo na Airtel kwaajili ya  miachuano ya Airtel Rising stars nchini Nigeria itakayoanza jumatatu wiki ijayo na kushirikisha nchi 17 barani Afrika

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link