Home » » MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZINZIBAR NA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK.ALI MOHAMED SHEIN AZINDUA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZINZIBAR NA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK.ALI MOHAMED SHEIN AZINDUA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM

Written By CCMdijitali on Monday, January 26, 2015 | January 26, 2015

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na  Katibu Mkuu CCM Taifa Abdulrahman Omar Kinana baada ya kumalizika kwa Mkutano wa maadhimisho ya sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM uliofanyika leo katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba.
 Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akizungumza jambo na Mkuu wa mawasiliano CCM, Daniel Chongolo kabla ya kuanza kwa mkutano huo wa uzinduzi 

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Katibu Mkuu CCM Taifa Abdulrahman Omar Kinana na Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Bakari Mshindo (wa tatu kushoto) Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi (kushoto) wakipiga makofi ulipopigwa wimbo wa Chama kumpokea Dk.Shein alipofika kuzindua Sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba
 Baadhi ya wanaCCM waliohudhuria katika mkutano wa uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimia miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao leo katika uwanja wa wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba leo.
  Vijana wa Chipukizi wa CCM Kisiwani Pemba wakiimba Wimbo Maalum wa kuzaliwa CCM wakati wa Sherehe za maadhimisho ya miaka 38 katika uwanja wa  Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba leo,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani.
 Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi CCM Taifa Ndg Nape Nnauye akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba leo.
 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba leo. 
  Makamu  Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba leo.
 Baadhi ya Wananchi na wafuasi wa CCM wakizungumza
 Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba leo.
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link