KATIBU TAWALA WA MKOA (RAS) NDG ADOH S. MAPUNDA KUSHOTO AKIWA NA KATIBU WA SIASA NA UENEZI WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG JASPER KISHUMBUA (KULIA) WAKIWA KATIKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA , (PICHA YA JUU NA CHINI) MARA BAADA YA MAZUNGUMZO KUHUSU KERO MBALI MBALI ZINAZOHUSU JIJI LA ARUSHA PAMOJA NA BAADHI YA MAMBO KUHUSU UTEKELEZAJI WA ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYANI ARUSHA.
KATIBU TAWALA WA MKOA (RAS) NDG ADOH S. MAPUNDA KUSHOTO AKIWA NA DK. SITI KATIKA OFISI ZA MKUU WA MKOA JIJINI ARUSHA.(PICHA YA JUU NA CHINI)