Home »
KITAIFA
» Balozi Mdogo Mpya wa India , Bwana Satendar Kumar ajitambulisha kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
Balozi Mdogo Mpya wa India , Bwana Satendar Kumar ajitambulisha kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar akijitambulisha rasmi kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
Balozi Seif akibadilishana mawazo na Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar Ofisini kwake Mtaa wa Vuga Mjini Zanzibar.
Press Release:-