Home » » FASTJET YAZINDUA SAFARI MPYA KATI YA KILIMANJARO NA ENTEBBE, UGANDA

FASTJET YAZINDUA SAFARI MPYA KATI YA KILIMANJARO NA ENTEBBE, UGANDA

Written By CCMdijitali on Sunday, April 19, 2015 | April 19, 2015

 Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (Kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika uzinduzi wa safari mpya kati ya Kilimanjaro, Tanzania na Entebbe, Uganda. Uzinduzi huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe wiki iliyopita. Kushoto ni Mkurugenzi asiye mtendaji wa Fastjet Tanzania, Lawrence Masha.
 Meneja Mkuu wa shirika la Ndege la Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (kushoto aliyeinama) na Mkurugenzi asiye mtendaji wa Fastjet, Lawrence Masha (Kulia aliyeinama) wakikata keki kwa pamoja katika uzinduzi wa safari mpya ya ndege hiyo kati ya Kilimanjaro, Tanzania na Entebbe, Uganda. Uzinduzi huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe wiki iliyopita.

Wengine pembeni ni Mshauri Kibiashara wa Fastjet, Ian Petrie (Kulia) na Mkurgenzi mtendaji wa Simba Travelcare, Uganda, Declan Peppard (Kushoto).


Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link