Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose wakiagana mjini Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile , Bw. Beda Shallanda Kamishina wa Sera na Bw. Paul Mwafongo ambaye ni Afisa katika ubalozi wa Tanzania na kutoka kushoto ni Bw.Ngosha Said Magonya Kamishina wa Fedha za nje Bw. John Cheyo Kamishina wa Bajeti na wa pembeni ni mfanyakazi wa Benki ya Dunia.
Mkurugenzi msaidizi
na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly (wa katikati
mwenye Tai ya rangi ya chungwa) akiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya
Shirika la fedha la Kimataifa na ujumbe kutoka Tanzania( hawapo kwenye
picha)mjini Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe.
Saada Salum Mkuya na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali
Dr. Servacius Likwelile wakiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la
fedha la Kimataifa mjini Washington DC.
Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji
Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile na ujumbe kutoka Tanzania wakiwa
kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa mjini
Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe.
Saada Salum Mkuya akitoa ufafanuzi na majibu kwaswali aliloulizwa na Mkurugenzi
msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly kwenye
mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa mjini Washington
DC.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose ofisini kwake mjini Washington DC.
Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji
Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile walipomtembelea Mkurugenzi Mtendaji wa
Benki ya Dunia wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose ofisini
kwake wakiwa mjini Washington DC.Walio ambatana na Mhe. Waziri kutoka kushoto
ni Bw. Beda Shallanda Kamishina wa Sera,Bw.Ngosha Said Magonya Kamishina wa
Fedha za nje na Bw. John Cheyo Kamishina wa Bajeti na wa pembeni ni mfanyakazi
wa Benki ya Dunia.
Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Salum akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia
wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose ofisini kwake mjini
Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa kwenye picha ya
pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi namba 1 Afrika Bw.
Louis Rene Peter Larose kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na
Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile , Bw. Beda Shallanda Kamishina
wa Sera na Bw. Paul Mwafongo ambaye ni Afisa katika ubalozi wa Tanzania na
kutoka kushoto ni Bw.Ngosha Said Magonya Kamishina wa Fedha za nje Bw. John
Cheyo Kamishina wa Bajeti na wa pembeni ni mfanyakazi wa Benki ya Dunia.
Picha zote na Ingiahedi Mduma- Washington DC.