Home » » WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE LOWASSA KATIKA MKESHA WA SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MUUNGANO MJINI DUBAI

WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE LOWASSA KATIKA MKESHA WA SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MUUNGANO MJINI DUBAI

Written By CCMdijitali on Sunday, April 26, 2015 | April 26, 2015

Waziri mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akitoa salamu zake kwenye sherehe za miaka 51 ya muungano ambazo ziliandaliwa na jumuiya ya watanzania wanaoishi katika Falme za kiarabu (UAE) .Sherehe hizo zimefanyika leo Jumamosi ya mkesha wa kuamkia tarehe 26 siku ya muungano, katika hoteli ya Shangrila mjini Dubai
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link