Home » » MUENDELEZO WA MAJINA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT 2015

MUENDELEZO WA MAJINA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT 2015

Written By CCMdijitali on Monday, May 25, 2015 | May 25, 2015

KWENDA KAMBI ZA ;

  • Mgambo - Tanga
  • Maramba - Tanga
  • Mlale - Songea
  • Mafinga - Iringa 


Tanzania National Service 15c 1965Postal Service, Mail Documents, Service 15C, National Service

"Bofya link zifutazo kuona majina"

 


 Vijana wa JKT wakiimba na kucheza wakati wa makaribisho ya Makamu wa Rais, alipokuwa akiwasili Kijiji cha Rungemba kuzindua Kituo cha afya .
 Vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika Kikosi cha Ruvu, Kibaha, mkoani Pwani
Vijana wa JKT wakiimba na kucheza .

Jeshi la Kujenga Taifa lilianzishwa Julai 10, 1963 na serikali kwa lengo la kuwaweka pamoja vijana wa nchi hii na kuwapa malezi kuhusu uzalendo na umoja ili kuondoa dalili za matabaka zilizoanza kujitokeza katika jamii baada ya uhuru.

YAFUATAYO YAZINGATIWE

1. VIJANA WANAOTAKIWA KUJIUNGA WAWE RAIA WA TANZANIA

2. WARIPOTI WAKIWA NA VYETI HALISI VYA KUZALIWA NA KUMALIZA KIDATO CHA SITA (LEAVING CERTIFICATE).

3. VIJANA WENYE ULEMAVU UNAOONEKANA WARIPOTI KWENYE KIKOSI CHA RUVU.

4. WALE WENYE MATATIZO AMBAYO YATAPELEKEA KUTOKUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KWA SASA WAANDIKE BARUA YA MAOMBI YA KUAHIRISHA MAFUNZO KWA MKUU WA JKT WAKIAMBATISHA VIELELEZO VYA TATIZO ALILONALO. MWAWASILIANO YOTE YAFANYIKE KUTUMIA ANUANI IFUATAYO.



MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA
MAKAO MAKUU YA JESHI LA KUJENGA TAIFA
S.L.P 1694

DAR ES SALAAM.


Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link