Home » » Mosses Mwizarubi atua viwanja CCM Wilaya Arusha.

Mosses Mwizarubi atua viwanja CCM Wilaya Arusha.

Written By CCMdijitali on Monday, June 29, 2015 | June 29, 2015

 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha ndg Wilfred Soilleli akimkaribisha mmoja wa watia nia ya Ubunge Jimbo Arusha Ndg Mosses Mwizarubi,alipotembelea kujitambulisha Ofisi ya CCM Wilaya ya Arusha leo.

 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soilleli akimkaribisha mmoja wa watia nia ya Ubunge Jimbo Arusha Ndg Mosses Mwizarubi na kushoto ni Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua,Ndg Mosse amekwenda kujitambulisha Ofisi ya CCM Wilaya ya Arusha leo.


Katibu wa UWT Kata ya Kaloleni Ndg Saumu Kassim akisalimiana na  Ndg Mosses Mwizarubi,mmojawapo wa walionyesha  nia ya Ubunge Jimbo Arusha alipotembelea kujitambulisha Ofisi ya CCM Wilaya ya Arusha leo.

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link