Home » » VICKY KAMATA ATOA BAISKELI 500 KWA WANAWAKE WA MKOA WA GEITA

VICKY KAMATA ATOA BAISKELI 500 KWA WANAWAKE WA MKOA WA GEITA

Written By CCMdijitali on Tuesday, June 23, 2015 | June 23, 2015


  Katika kutambua na kudhamini juhudi za Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulahman Kinana katika kukuiimarisha chama Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Vicky Kamata amejitolea kutoa baiskel 500 kwa wanawake wa Umoja wa Wanawake wa mkoa mzima wa Geita ambapo Wanawake hao watatumia baiskel hizo kukuiimarisha chama. Pichani Mhe Kamata akipongezwa kwa moyo wake huo




Mhe. Vicky Kamata akihutubia umati wa wananchi kwenye mkutano huo wa hadhara Mkoani Geita

 Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulahman Kinana akifurahia jinsi Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Vicky Kamata alivyojitolea kuwainua kinamama wenzake wa Geita



 Baiskeli alizotoa Mhe Vick Kamata mkoani Geita





Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link