Vijana wafunga Ofisi kumsikiliza Dr Kigwangala na msafara wake mara baada ya kuwasili viwanja vya CCM wilaya ya Arusha jana 27/06/2015.Falsafa ya Dr Kigwangala na
Safari ya Mabadiliko
Fikiri tofauti
Amua Mabadiliko Sasa
Hili ndiyo gari anayoitumia Dr Kigwangala katika safari yake ya kupata wadhamini Mikoa 18 .
Mke wa Dr Kigwangala akiwa amefuatana na mumewe kuona kwamba kila kitu kinaenda kama kilivyoratibiwa.
Dr Kigwangala akisaini kitabu cha wageni, katika Ofisis za CCM Wilaya ya Arusha mara baada ya kuwasili na kupokelewa kwa maua na nderemo na baadhi ya wanachama waliojitokeza kwa wingi kumdhamini Wilayani hapo.
Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Bano akihakiki na kuthibitisha fomu ya Dr Kigwangla aliyetangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi 2015, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
Mke wa Dk Hamisi Kigwangala akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Ofisis za CCM Wilayani Arusha.
Baadhi ya wakina Mama waliojitokeza kumdhamini Dr Kigwangala ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi 2015, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
Mh Dk Hamisi Kigwangala akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
Mh Dk Hamisi Kigwangala akiwa amefuatana na mkewe wakisalimiana viongozi wa Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Arusha,pichani ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa na Mjumbe wa Kamati ya Siasa Ndg Musa Mkanga akipeana mkono na Dr Kigwangala.Dr Kigwangala ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi 2015, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
Dr Kigwangwala akitoa salamu kwa wajumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Arusha.
Mh Dk Hamisi Kigwangala akiwa amefuatana na mkewe wakisalimiana viongozi wa Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Arusha,pichani ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya WAZAZI ya CCM Ndg Ally Mtumwa akipeana mkono na Dr Kigwangala.Dr Kigwangla ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi 2015, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
Mh Dk Hamisi Kigwangala aliyetangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi 2015, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha akiteta jambo na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Elimu ya Juu .
Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Bano akitoa neno la shukrani kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi ,kabla kumkaribisha Dr Kigwangala kuongea na wadhamini wake.
Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruzi Bano akipeana mkono na Mh Dk Hamisi Kigwangala aliyetangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi 2015, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha, mara baada ya zoezi udhamini kumalizika . Pichani ni Mke wa Mh Dk Kigwangala akishuhudia zoezi hilo.
Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruzi Bano akimkabidhi fomu za udhamini mara baada ya kuzihakiki na kuthibitisha kwa Mh Dk Hamisi Kigwangala aliyetangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi 2015, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
Mh Dk Hamisi Kigwangala aliyetangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi 2015,akiwashukuru wadhamini waliojitokeza katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
Brother Charles (mtaalamu wa IT) naye alishindwa kuficha hisia juu ya kijana mwenzao aliyeamua kutangaza nia ya kuomba nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,
Dk Hamisi Kigwangala.
Mkurugenzi wa Ujumbe Link ya Jijini Arusha Ndg Victor Mollel naye hakusita kupata picha ya kumbukumbu na Mh Dk Hamisi Kigwangala aliyetangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi 2015, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
Mkurugenzi wa Ujumbe Link ya Jijini Arusha Ndg Victor Mollel naye hakusita kupata picha ya kumbukumbu na Mh Dk Hamisi Kigwangala aliyetangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi 2015, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
Bi Joyce Mollel akiwa katika viwanja vya CCM Wilaya ya Arusha
Mfanya biashara maarufu Jijini Arusha Ndg Henry Moshi naye hakusita kupata picha ya kumbukumbu na Mh Dk Hamisi Kigwangala aliyetangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi 2015, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
Dereva wa Chama Cha Mapinduzi kwa jina maarufu Ndg Majeshi naye alishindwa kuficha hisia zake na kuomba kupata picha ya kumbukumbu na Mh Dk Hamisi Kigwangala aliyetangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi 2015, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
Bi Joyce Mollel akiwa katika pozi la tabasamu na Mh Dk Hamisi Kigwangala aliyetangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi 2015, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
Zoezi la kumbukumbu ya picha likiendelea katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha katika zoezi la kupata wadhamini .
Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Sombetini Bi Happyness Mollel akiwa na Mh Dk Hamisi Kigwangala aliyetangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi 2015, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
Safari ya Mabadiliko ikelekea Mkoani Manyara kwa ajili ya zoezi la udhamini katika kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi 2015.