Home » » Bi Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa ndani na Wanachama wa CCM Kata ya Ngaramtoni Wilayani Meru

Bi Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa ndani na Wanachama wa CCM Kata ya Ngaramtoni Wilayani Meru

Written By CCMdijitali on Saturday, August 29, 2015 | August 29, 2015


Mkt wa UWT Wilaya ya Arumeru Bi Esther Maleko akimvisha vazi la heshima Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi  Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa ndani na Wanachama wa CCM  Kata ya Ngaramtoni Wilayani Meru,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Mkt wa UWT Wilaya ya Arumeru Bi Esther Maleko akimvisha vazi la heshima Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa ndani na Wanachama wa CCM   Kata ya Ngaramtoni Wilayani Meru,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Wananchi wakiushangilia msafara wa Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan wakati akielekea katika Mkutano wa ndani na Wanachama wa CCM  Kata ya Ngaramtoni Wilayani Meru,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.

Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Mkutano wa ndani na Wanachama wa CCM katika Kata ya Ngaramtoni Wilayani Meru,Mkoani Arusha akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Arumeru Magharibi Ndg Biniface Mungaya nyuma akifuatiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Arumeru Magharibi Ndg Fredrick Sabuni . Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Baadhi ya wanaCCM  wa Kata ya Ngaramtoni wakiwa kwenye mkutano wa kikao cha ndani cha Mgombea Mwenza nafasi ya Urais wa CCM, Bi. Samia Suluhu.


Kikundi cha sanaa cha Kata ya Olorien kikitumbuiza katika Mkutano wa ndani wa Wanachama wa CCM katika Kata ya Ngaramtoni Wilayani Meru,Mkoani Arusha ,kichoandaliwa kwa ajili ya  Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan.  Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa ndani na Wanachama wa CCM Kata ya Ngaramtoni Wilayani Meru,Mkoani Arusha.Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arumeru Magharibi Ndg Ibrahim Sella , Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala ,Katibu wa CCM Wilaya ya Arumeru Magharibi Ndg Fredrick Sabuni akifuatiwa na Mwenyekiti wa Uwt Mkoa wa Arusha Bi Flora Zelothe. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Bi Angela Kariuki -Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi wakiwa katika Mkutano katika Mkutano wa ndani na Wanachama wa CCM Kata ya Ngaramtoni Wilayani Meru,Mkoani Arusha..
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arumeru Magharibi Ndg Ibrahim Sella ,akiwasalimia wanachama katika Mkutano wa ndani na Wanachama wa CCM Kata ya Ngaramtoni Wilayani Meru,Mkoani Arusha. . Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.









Msafara wa Mgombea Mwenza wa CCM ukiondoka Ngaramtoni , mara baada ya kikao cha ndani.

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link