Home » » Katibu mpya wa UVCCM Wilaya Arusha awasili Ofisi za Chama Wilaya leo.

Katibu mpya wa UVCCM Wilaya Arusha awasili Ofisi za Chama Wilaya leo.

Written By CCMdijitali on Saturday, June 11, 2016 | June 11, 2016

Kushoto ni Katibu wa UVCCM Wilaya aliyehamishiwa Wilaya ya Arusha Ndg Iddy Mtonga,badala Ndg Jamal Khimji aliyehamishiwa Wilaya ya Dodoma (kulia)
Katibu Iddy Mtonga amepata uhamisho kutoka Wilaya ya Kilombero, Mkoani Morogoro Mji kasoro bahari.Wakiwa katika Ofisi ya Katibu Mwenezi Jijini Arush leo.



Kushoto ni Katibu wa UVCCM Wilaya aliyehamishiwa Wilaya ya Arusha  Ndg Iddy Mtonga,badala Ndg Jamal Khimji aliyehamishiwa Wilaya ya Dodoma (kulia)
Katibu Iddy Mtonga amepata uhamisho kutoka Wilaya ya Kilombero, Mkoani Morogoro Mji kasoro bahari.
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link