Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wadau mbalimbali wa CTI na kutoka Sekta ya Viwanda nchini kabla ya kutoa Tuzo za Rais kwa viwanda vilivyofanya vizuri kwa mwaka 2015 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini Leodgar Tenga mara baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya utoaji Tuzo za Rais.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na baadhi ya Wadau wa Viwanda nchi mara baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya utoaji Tuzo za Rais.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia na Waziri wa Nishati na Madini wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa wazalishaji Bora wa Viwandani kwa mwaka 2015 leo Jijini Dar es Salaam.(P.T)
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembelea
baadhi ya mabanda ya bidhaa zinazotoka viwandani wakati wa hafla ya
utoaji tuzo za Rais kwa wazalishaji Bora wa Viwandani kwa mwaka 2015 leo
Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa
Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akiongea na wadau
wa sekta ya Viwanda wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa
wazalishaji Bora wa Viwandani kwa mwaka 2015 na kuwataka kuunganisha
nguvu katika uanzishaji na uendelezaji wa viwanda nchini ili kuongeza
upatikanaji wa bidhaa nchini hali itakayopelekea kukuza uchumi wa nchi
na kuongeza ajira kwa watanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua nembo ya shirikisho la viwanda nchini wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa wazalishaji Bora wa Viwandani kwa mwaka 2015 leo Jijini Dar es Salaam kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mh. Charles Mwijage, wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) Leodger Tenga na wa pili ni Mwenyekiti wa Shirikisho la Wamiliki wa Viwanda nchini Tanzania (CTI)Dr.Samuel Nyantahe.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
wadau wa sekta ya viwanda nchini(hawapo pichani) na kuwaahidi kuwaunga
mkono katika harakati za kuendeleza sekta ya viwanda ikiwamo kuanzisha
banki ya maendeleo ya viwanda nchini itakayosaidia kutoa mikopo yenye
riba nafuu kwa wale wenye nia ya kuanzisha viwanda.
Wadau wa
Sekta ya Viwanda nchini wakimsilkiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Rais
kwa wazalishaji Bora wa Viwandani kwa mwaka 2015 leo Jijini Dar es
Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa tuzo kwa
washindi wa tuzo za Rais kwa wazalishaji Bora wa Viwandani kwa mwaka
2015 leo Jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa tuzo kwa
washindi wa tuzo za Rais kwa wazalishaji Bora wa Viwandani kwa mwaka
2015 leo Jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
picha ya pamoja na washindi wa tuzo za Rais kwa wazalishaji Bora wa
Viwandani kwa mwaka 2015 leo Jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU / HASSAN SILAYO-MAELEZO
PICHA NA IKULU / HASSAN SILAYO-MAELEZO