Home »
SPORTS
» Waziri Nape Moses Nnauye alipozindua filamu ya Sikitu Julai 15, 2016.
Waziri Nape Moses Nnauye alipozindua filamu ya Sikitu Julai 15, 2016.
|
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na Mkurugenzi wa
Steps Entertainment Bw. Delish Solanki wakati akiwasili katika ukumbi wa
Suncrest Cine Plex uliopo katika jengo la Quality Centre Jijini Dar es Salaam
kuzindua filamu ya Sikitu Julai 15, 2016.
|
|
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.
Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) mara baada
ya kuwasili katika ukumbi wa Suncrest Cine Plex uliopo katika jengo la Quality
Centre Jijini Dar es Salaam kuzindua filamu ya Sikitu Julai 15, 2016. |
|
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.
Nape Moses Nnauye akisalimiana na muigizaji mkongwe nchini na mmoja ya
waigizaji katika filamu ya Sikitu Amir Athumani ‘King Majuto” wakati akiwasili
katika ukumbi wa Suncrest Cine Plex uliopo katika jengo la Quality Centre
Jijini Dar es Salaam kuzindua filamu ya Sikitu Julai 15, 2016.
|
|
Mkurugenzi wa Steps
Entertainment Bw. Delish Solanki akizungumza na waandishi wa habari (hawapo
pichani) wakati akiwasili katika uzinduzi wa
filamu ya Sikitu katika ukumbi wa Suncrest Cine Plex uliopo katika jengo
la Quality Centre Jijini Dar es Salaam Julai 15, 2016.
bashir-nkoromo.blogspot.com
|