Kisima kina uwezo wa kuzalisha lita 6400 kwa saa moja
Naibu Waziri awataka Wananchi kuwa na jukumu la kulinda mradi huo ili kuwa endelevu.
Awataka viongozi wa nyanja zote kujibu kero za Wananchi
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemain Jaffo ,akiongea na umati wa Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo kikiambatana uzinduzi wa kisima cha maji kwenye soko maarufu la Kwamrombo kwa ajli ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar Muslim Youth Centre Tawi la Arusha.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi)Suleiman Jaffo akizindua kisima cha maji kwenye soko maarufu la Kwamrombo kwa ajli ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar Muslim Youth Centre Tawi la Arusha.
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemain Jaffo ,akisalimiana na baadhi ya wakazi mara baada ya uzinduzi wa kisima cha maji kwenye soko maarufu la Kwamrombo kwa ajli ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar Muslim Youth Centre Tawi la Arusha.
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemain Jaffo (kushoto) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mh Mrisho Gambo.
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemain Jaffo (katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mh Mrisho Gambo na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha,Calist Lazaro (kushoto)
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemain Jaffo (katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mh Mrisho Gambo na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha,Calist Lazaro (kushoto) na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha,Athumani Kihamia (kulia)
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemain Jaffo (katikati) akiwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha,Calist Lazaro , Mkurugenzi wa Jiji la Arusha,Athumani Kihamia (kulia) na Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruzy Bano (shati la kijani)
Meza kuu viongozi.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli ,akiongea na umati wa Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo ukiambatana na uzinduzi wa kisima cha maji kwenye soko maarufu la Kwamrombo kwa ajli ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar Muslim Youth Centre Tawi la Arusha.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Ansaar Muslim Youth Centre akisoma risala kwa mgeni rasmi na viongozi waliombatana na NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemain Jaffo , katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo ukiambatana na uzinduzi wa kisima cha maji kwenye soko maarufu la Kwamrombo kwa ajli ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar Muslim Youth Centre Tawi la Arusha.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Mrisho Gambo ,akiongea na umati wa Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo ukiambatana na uzinduzi wa kisima cha maji kwenye soko maarufu la Kwamrombo kwa ajli ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar Muslim Youth Centre Tawi la Arusha.
Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruzy Bano akifuatilia jambo kwa makini katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo ukiambatana na uzinduzi wa kisima cha maji kwenye soko maarufu la Kwamrombo kwa ajli ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar Muslim Youth Centre Tawi la Arusha.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Mrisho Gambo ,akiongea na umati wa Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo ukiambatana na uzinduzi wa kisima cha maji kwenye soko maarufu la Kwamrombo kwa ajli ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar Muslim Youth Centre Tawi la Arusha.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Suleiman Jaffo akizungumza kwenye mkutano wahadhara kwenye soko maarufu la Kwamrombo kabla ya kuzindua kisima cha maji kwaajili ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar MuslimYouth Centre tawi la Arusha.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Suleiman Jaffo akizungumza kwenye mkutano wahadhara kwenye soko maarufu la Kwamrombo kabla ya kuzindua kisima cha maji kwaajili ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar MuslimYouth Centre tawi la Arusha.
Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha,Calist Lazaro akizungumza kwenye mkutano wahadhara kwenye soko maarufu la Kwamrombo kabla ya kuzindua kisima cha maji kwaajili ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar MuslimYouth Centre tawi la Arusha.
Wananchi wakifurahia hotuba ya Naibu Waziri Jaffo ambaye alitumia mkutano huo kumwagiza Meneja wa Tanesco kuwaunganishia umeme mapema inavyowezekana.