Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kulia kwake) wakikagua vipando vya
kabeji wakati walipotembelea banda la Magereza kwenye maonyesho ya
wakulima Nanenane kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya Agosti8,
2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitazama jiko banifu linalotumia
gesi ya pumba wakati alipotembelea banda la Magereza kwenye maonyesho ya
Wakulima Nanenane katika uwanja wa John Mwakakangale jijini Mbeya
Agosti 8, 2016. (Picha na Ofiasi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananachi wakati lipotembelea
maonyesho ya wakulima Nanenane kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini
Mbeya Agosti 8, 2016. Kushoto kwake ni mkewe Mary
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia picha yake iliyochorwa na kutolewa
kwake na Chama cha Wandishi wa Habari za Utalii na Uwekezaji Tanzania
mkoani Mbeya (TAJATI) katika kilele cha sherehe za Maonyesho ya wakulima
Nanenane kwenye uwaja wa wa John Mwakangale jijini Mbeya Agost 8, 2016.
Watatu kulia kwake ni mkewe Mary na wapili kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa
wa Mbeya, Amos Makalla
Baadhi
ya viongozi waliohudhuria kwenye kilele cha Maonyesho ya Wakulima
Nanenane katika uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya wakimsikiliza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Agosti 8, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia) wakikagua vipando vya alizeti katika eneo la banda la Chuo cha Kilimo cha Uyole kwenye maonyesho ya wakulima Nanenane kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya Agosti 8, 2016. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla.

Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha karoti zilizostawi vizuri wkati
alipotembelea banda la Mapanda Mkoani Katavi katika maonyesho ya
wakulima Nanenane kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya Agosti
8, 2016. Kulia kwake ni mkewe Mary
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama vitunguu vilivyopandwa kwenye gunia
namna ya kilimo ambacho ni muafaka kwa watu waishio mijini hasa
magorofani. Alikuwa akitembela maonyesho ya wakulima Nanenane kwenye
uwanja wa Maonyesho wa John Mwakangale wa jijini Mbeya
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakipata maelezo kuhusu jiko banifu
kutoka kwa mkuu wa wilaya ya Nkansi, Saidi Mtanda (kushoto) kuhusu jiko
banifu lililobuniwa na kutengenezwa na Samuel Msigale (watatu kulia)
ambaye ni mjasiliamali kutoka Nkansi mkoani Rukwa. Alikuwa kitembelea
maonyesho ya wakulima Nanenane kwenye uwanja wa maonyesho ya wakulima
Nanenane wa John Mwakangale Agosti 8, 2016.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na askari magereza wa mkoa wa Mbeya
baada ya kutembelea banda lao kwenye maonyesho ya wakulima Nanenane
kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya Agosti 8, 2016. Kulia ni
Mkuu wa Magereza mkoa wa Mbeya Julius Sang’unda
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiwa katika picha ya pamoja na
vijana wa kujitolea kutoka Uingereza ambao Agosti 8, 2016 walitembelea
maonyesho ya wakulima Nannane kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini
Mbeya. (Picha na Ofisi ya wairi Mkuu)