Home » » Wito wa Kuhudhuria Mkutano wa Baraza Jiji la Arusha

Wito wa Kuhudhuria Mkutano wa Baraza Jiji la Arusha

Written By CCMdijitali on Friday, September 2, 2016 | September 02, 2016


TANGAZO


WANANCHI WOTE WA JIJI LA ARUSHA 


MNATANGAZIWA KWAMBA ,KUTAKUWA NA 

MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA 

MADIWANI UTAKAOFANYIKA TAREHE 05.09.2016 

KWENYE UKUMBI WA ARUSHA SCHOOL KUANZIA 

SAA NNE ASUBUHI. WOTE MNAKARIBISHWA. 

 

IMETOLEWA NA: 

MKURUGENZI 

HALMASHAURI YA JIJI 

ARUSHA.
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link