Home » » Diwani wa Chadema Arusha apewa dhamana kwa kesi ya kujimilikisha mali ya Halmashauri - ARUSHA

Diwani wa Chadema Arusha apewa dhamana kwa kesi ya kujimilikisha mali ya Halmashauri - ARUSHA

Written By CCMdijitali on Saturday, October 15, 2016 | October 15, 2016



Diwani wa Kata ya Kimandolu Bw Rayson Ngowi ,akitoka Mahakamani mara baada ya kupewa dhamana.

 Diwani wa Kata ya Kimandolu Bw Rayson Ngowi ,akiongea na baadhi ya Waandishi wa habari wa Kituo cha Radio 5 ya Jijini Arusha katika viwanja vya Mahakama mara baada ya kupewa dhamana.

 Mwandishi maarufu Jijini Arusha Ndg Ngilisho (mwenye karatasi mkononi) ,naye akionekana kuwa na ari ya kutaka kujua kilichojiri.


Diwani wa Kata ya Kimandolu Bw Rayson Ngowi,mara baada ya kupata dhamana kwa kesi ya kujimikilisha mali ya Halmashauri nje ya utaratibu. 

Kesi imeahirishwa mpaka Novemba 14,2016 


Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link