Home » » Katibu Lucia wa CCM Wilaya ya Arusha ajitambulisha kwa Viongozi wa Serekali Mkoani Arusha

Katibu Lucia wa CCM Wilaya ya Arusha ajitambulisha kwa Viongozi wa Serekali Mkoani Arusha

Written By CCMdijitali on Sunday, February 19, 2017 | February 19, 2017


 Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo akisalimiana na Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Bi Lucia A.Mwiru katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo asubuhi mara baada ya kuripoti kwenye kituo kipya cha kazi CCM Wilaya ya Arusha .


 Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Ndg Athmani Kihamia   akisalimiana na Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Bi Lucia A.Mwiru katika Ofisi ya Jiji la  Arusha leo asubuhi mara baada ya kuripoti kwenye kituo kipya cha kazi CCM Wilaya ya Arusha .


 Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo akibadilishana mawili matatu ,kama inavyoonekana kwenye picha  na Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Bi Lucia A.Mwiru mara baada ya kutua Ofisi  ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo asubuhi mara baada ya kuripoti kwenye kituo kipya cha kazi CCM Wilaya ya Arusha .

Afisa wa Michezo na Utamaduni Jiji la Arusha Ndg Maneno akisalimiana na Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Bi Lucia A.Mwiru katika Ofisi ya Jiji la Arusha leo asubuhi mara baada ya kuripoti kwenye kituo kipya cha kazi CCM Wilaya ya Arusha .

 
 Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo akibadilishana mawili matatu ,kama inavyoonekana kwenye picha na Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Bi Lucia A.Mwiru mara baada ya kutua Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo asubuhi mara baada ya kuripoti kwenye kituo kipya cha kazi CCM Wilaya ya Arusha .

 Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Bi Lucia A.Mwiru akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Jiji la Arusha leo asubuhi mara baada ya kuripoti kwenye kituo kipya cha kazi CCM Wilaya ya Arusha .

 
 
 Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Bi Lucia A.Mwiru akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Jiji la Arusha leo asubuhi mara baada ya kuripoti kwenye kituo kipya cha kazi CCM Wilaya ya Arushana kulia kwake ni Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Ndg Athmani Kihamia.




Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo akibadilishana mawili matatu ,kama inavyoonekana kwenye picha na Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Bi Lucia A.Mwiru mara baada ya kutua Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo asubuhi mara baada ya kuripoti kwenye kituo kipya cha kazi CCM Wilaya ya Arusha .(kushoto) ni mdau aliyefika Ofisi ya Mkuu Mkoa kutokea Wilaya ya Monduli.


 Aliyesimama ni Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua na waliokaa kuanzia kushoto ni Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Jane Nyari na UVCCM Ndg Iddy Ntonga.

 Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Jane Nyari

 Kushoto ni Katibu wa  WAZAZI  Wilaya ya Arusha Ndg Mohamed Mavallah na UVCCM Wilaya  Ndg Iddy Ntonga





Kushoto ni Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Jane Nyari na WAZAZI Ndg Mohamed Mavallah.


 
 Kushoto ni Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Jane Nyari na WAZAZI Ndg Mohamed Mavallah.

 Kushoto ni Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Jane Nyari na UVCCM Ndg Iddy Ntonga

Kushoto ni Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Jane Nyari na UVCCM Ndg Iddy Ntonga



Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link