A
Wakuu wa Idara, maafisa watendaji wa Kata, Mitaa pamoja na wenyeviti wa Mitaa 154 ya Jiji la Arusha wakifuatilia kikao kazi kilichoitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha.
Afisa Mtendaji Kata ya Baraa Bi. Anna Lebisa akiwasilisha changamoto mbalimbali zilizoko katika kata yake.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqarro (Pili kushoto) akitolea ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizowasilishwa na wajumbe wa Kikao Kazi.
Afisa Mtendaji Kata ya Ngarenaro Bw. Joshua Nasari (aliyesimama) akichangia katika Kikao Kazi kilichoitishwa na Mkuu wa Wilaya.