Home »
KITAIFA
» Mhe. Rais Samia amtembelea na kumsalimia Mzee Malecela DODOMA
Mhe. Rais Samia amtembelea na kumsalimia Mzee Malecela DODOMA
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na
Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samwel Malecela alipomtembelea kumjulia hali Nyumbani kwake
Kilimani Jijini Dodoma leo tarehe 15 Januari 2022. |