Happy birthday Chama changu CCM.... Nakupenda sana. Njombe wakisherehekea birthday ya miaka 45 tukiwa na Rais Mwanamke na Mwenyekiti wa Chama chetu akiwa Mwanamke. Mama yetu Jemedari @samia_suluhu_hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hongera sana.
"MAADHIMISHO YA MIAKA 45 YA CCM" - NJOMBE
Written By CCMdijitali on Monday, February 7, 2022 | February 07, 2022
Labels:
KITAIFA