Home » » Rc Tabora azungumza na Mratibu wa Maendeleo ya awali ya mtoto toka EGPAF

Rc Tabora azungumza na Mratibu wa Maendeleo ya awali ya mtoto toka EGPAF

Written By CCMdijitali on Thursday, February 10, 2022 | February 10, 2022

 Mhe. Balozi Batilda Burian Mkuu wa Mkoa wa Tabora leo tarehe 10 Februari, 2022 amezungumza na Bw. Chrispin Christian Mratibu wa Maendeleo ya Awali ya Mtoto toka Shirika la EGPAF na Bi. Oliver Njogopa Afisa Ustawi wa Jamii Mwandamizi toka Ofisi ya Waziri Mkuu. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora na yalijikita kwenye Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto.

Mhe. Balozi Batilda Burian Mkuu wa Mkoa wa Tabora akizungumza na Bw. Chrispin Christian Mratibu wa Maendeleo ya Awali ya Mtoto toka Shirika la EGPAF na Bi. Oliver Njogopa Afisa Ustawi wa Jamii Mwandamizi toka Ofisi ya Waziri Mkuu

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link