Home » » Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ahesabiwa kwenye Zoezi la Sensa na Makazi, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ahesabiwa kwenye Zoezi la Sensa na Makazi, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Written By CCMdijitali on Monday, August 22, 2022 | August 22, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Karani wa Sensa Phausta Ntigiti wakati alipokuwa akihesabiwa katika Makazi yake Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 23 Agosti, 2022 kwenye shughuli ya Sensa ya Watu na Makazi. 



Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link