Home » » MAJALIWA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA JIMBO LA LOMBARDIA

MAJALIWA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA JIMBO LA LOMBARDIA

Written By CCMdijitali on Friday, October 20, 2023 | October 20, 2023

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Jimbo wa Lombardia Mhe. Attilio Fontana alipowasili kwenye ofisi za jimbo hilo, Milan, Italia Oktoba 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Jimbo wa Lombardia Mhe. Attilio Fontana alipowasili kwenye ofisi za jimbo hilo, Milan, Italia Oktoba 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Jimbo wa Lombardia Mhe. Attilio Fontana kuhusu ushirikiano kati ya jimbo hilo ambalo ni maarufu kwa ujenzi wa viwanda pamoja na Tanzania, kwenye ofisi za jimbo hilo, Milan, Italia Oktoba 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi Rais wa Jimbo wa Lombardia Mhe. Attilio Fontana baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye kwenye ofisi za jimbo hilo, Milan, Italia Oktoba 20, 2023. (Picha na

Ofisi ya Waziri Mkuu)

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link