Home » » MKUU WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM RAIS MSTAAFU JAKAYA AONGOZA MAHAFALI YA 53

MKUU WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM RAIS MSTAAFU JAKAYA AONGOZA MAHAFALI YA 53

Written By CCMdijitali on Tuesday, October 17, 2023 | October 17, 2023

MKUU WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM RAIS MSTAAFU JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA MAHAFALI YA 53 YA DURU LA PILI UKUMBI WA MLIMANI CITY JIJINI DAR LEO

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Makamu Mkuu wa Chuo Profesa William A.L. Anangisye  katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho Balozi Mwanaidi Sinare Maajar  katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ew3gakitunuku Digrii za Awali, Stashahada na Ashtahada kwa wahitimu 2796 katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho  yaliyofanyika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi Nicholaus Luhanga aliyepata kuwa Makamu Mkuu wa Chuo hicho (‪1980-1988‬) walipokuwa  katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akijiandaa kuwapatia vyeti  Elizabeth B. Kway na  Placidi Leonardi Lala, wahitimu wa shahada ya awali ambao wamefaulu daraja la kwanza kwa wakia (GPA) ya 4.8 ambao ni ufaulu wa juu kupita wahitimu wote 2796 katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho  yaliyofanyika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023. Bi. Kway amefuzu Digrii ya Awali ya Sayansi katika Sayansi za Takwimu Bima (Bachelor of Science in Acturial Sciences) wakati Bw. Lala amefuzu Digrii ya Awali ya Elimu Jamii katika Muziki (Bachelor of Arts in Music).

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti  Bi Elizabeth B. Kway, mmoja wa wanafunzi wahitimu wawili wa shahada ya awali ambao wamefaulu daraja la kwanza kwa wakia (GPA) ya 4.8 ambao ni ufaulu wa juu kupita wahitimu wote 2796 katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho  yaliyofanyika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023. Bi. Kway amefuzu Digrii ya Awali ya Sayansi katika Sayansi za Takwimu Bima (Bachelor of Science in Acturial Sciences)

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na meza kuu wakiwa katika picha ya kumbukumbu na wahitimu wenye mahitaji maalumu (waliosimama nyuma ni wahitimu walemavu wa kusikia na kulia kwa Dkt. Kikwete ni mlemavu wa miguu) katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho Balozi Mwanaidi Sinare Maajar  katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi Nicholaus Luhanga aliyepata kuwa Makamu Mkuu wa Chuo hicho (‪1980-1988‬) walipokuwa  katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti  Bw. Placidi Leonardi Lala mmoja wa wanafunzi wahitimu wawili wa shahada ya awali ambao wamefaulu daraja la kwanza kwa wakia (GPA) ya 4.8 ambao ni ufaulu wa juu kupita wahitimu wote 2796 katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho  yaliyofanyika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023. Bw. Lala amefuzu Digrii ya Awali ya Elimu Jamii katika Muziki (Bachelor of Arts in Music)

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akijiandaa kuwapatia vyeti  Elizabeth B. Kway na  Placidi Leonardi Lala, wahitimu wa shahada ya awali ambao wamefaulu daraja la kwanza kwa wakia (GPA) ya 4.8 ambao ni ufaulu wa juu kupita wahitimu wote 2796 katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho  yaliyofanyika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023. Bi. Kway amefuzu Digrii ya Awali ya Sayansi katika Sayansi za Takwimu Bima (Bachelor of Science in Acturial Sciences) wakati Bw. Lala amefuzu Digrii ya Awali ya Elimu Jamii katika Muziki (Bachelor of Arts in Music).

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na meza kuu wakiwa wamesimama wakati wa Wimbo wa Taifa katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023.

Picha na Issa Michuzi

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link