MIUNDOMBINU YA ELIMU ZANZIBAR SASA YALINGANA NA MAHITAJI YA KARNE YA 21
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa katika kuimarisha mazin...
Latest Post
January 21, 2014
MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WAAPISHWA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Written By CCMdijitali on Tuesday, January 21, 2014 | January 21, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Dkt. Hussein Ali
Mwinyi (Mb) Waziri wa Ulinzi na
Jeshi la Kujenga Taifa Ikulu jijini Dar es salaam leo. Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue
Mhe. Mathias Meinrad
CHIKAWE (Mb) Waziri wa Mambo ya Ndani akila kiapo
Mhe. Dkt. Asha-Rose
Mtengeti MIGIRO (Mb) Waziri wa Katiba na Sheria
Mhe. Lazaro Samuel NYALANDU (Mb) Waziri
wa Maliasili na Utalii akila kiapo
Mhe.
Dkt. Seif Seleman RASHIDI (Mb) Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii akila kiapo
Rais Kikwete akimuapisha Mhe.
Saada Mkuya SALUM (Mb) Waziri wa Fedha
Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Dismas
KAMANI (Mb) Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na
Uvuvi akila kiapo
Mhe.
Adam Kighoma Ali MALIMA (Mb) Naibu Waziri wa Fedha akila kiapo
Mhe. Charles Muhangwa KITWANGA (Mb) Naibu Waziri (Nishati) akila kiapo
Mhe. Amos Gabriel MAKALLA (Mb) Naibu
Waziri wa Maji
Mhe. Janet Zebedayo MBENE
(Mb) Naibu Waziri wa
Viwanda na Biashara
Mhe. Jenista Joakim MHAGAMA (Mb) Naibu
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akila kiapo
Mhe. Dkt. Pindi Hazara CHANA (Mb) Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,
Jinsia na Watoto akila kiapo
Mhe. Godfrey Weston ZAMBI (Mb) Naibu
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika akiapishwa
Mhe. Mwigulu Lameck NCHEMBA (Mb) Naibu Waziri wa Fedha akila kiapo
Mhe.
Dkt. Kebwe Stephen KEBWE (Mb) Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jamii akila kiapo
Mhe. Juma Selemani NKAMIA
(Mb) Naibu Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo
Mhe.
Mahmoud Hassan MGIMWA (Mb) Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii
Rais Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Katibu Mkuu Kiongozi wakipozi na mawaziri na manaibu waziri baada ya hafla ya kula viapo
Rais Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Katibu Mkuu Kiongozi wakipozi na mawaziri baada ya kiapo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na familia ya Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (Mb) Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
Rais Kikwete na baadhi ya wanafamilia ya Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb) Waziri wa Mambo ya Ndani
Rais Kikwete na familia ya Mhe. Dkt. Asha-Rose Mtengeti MIGIRO (Mb) Waziri wa Katiba na Sheria
Rais Kikwete na familia ya Mhe. Lazaro Samuel NYALANDU (Mb) Waziri wa Maliasili na Utalii
Rais Kikwete na familia ya Mhe. Dkt. Seif Seleman RASHIDI (Mb) Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Rais Kikwete na baadhi ya wanafamilia wa Mhe. Saada Mkuya SALUM (Mb) Waziri wa Fedha
Rais Kikwete na familia ya Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Dismas KAMANI (Mb) Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Rais Kikwete na familia ya Mhe. Adam Kighoma Ali MALIMA (Mb) Naibu Waziri wa Fedha
Rais Kikwete na familia ya Mhe. Charles Muhangwa KITWANGA (Mb) Naibu Waziri (Nishati)
Rais Kikwete akiwa na familia ya Mhe. Amos Gabriel MAKALLA (Mb) Naibu Waziri wa Maji
Rais Kikwete akiwa na familia ya Mhe. Janet Zebedayo MBENE (Mb) Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara
Rais Kikwete akiwa na familia ya Mhe. Jenista Joakim MHAGAMA (Mb) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Rais Kikwete akiwa na familia ya Mhe. Dkt. Pindi Hazara CHANA (Mb) Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Rais Kikwete akiwa na familia ya Mhe. Godfrey Weston ZAMBI (Mb) Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Rais Kikwete akiwa na familia ya Mhe. Mwigulu Lameck NCHEMBA (Mb) Naibu Waziri wa Fedha
Rais Kikwete akiwa na familia ya Mhe. Juma Selemani NKAMIA (Mb) Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Rais Kikwete akiwa na familia ya Mhe. Mahmoud Hassan MGIMWA (Mb) Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii
Rais Kikwete akiwa na familia ya Mhe. Dkt. Kebwe Stephen KEBWE (Mb) Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali akiwa na baadhi ya mawazir na naibu waziri waliokula kiapo leo
Rais Kikwete na Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakiwa na makamanda na viongozi katika Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Rais Kikwete na Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb) Waziri wa Mambo ya Ndani wakiwa na wakuu wa vyombo vilivyo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani
Rais Kikwete akiongea na Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb) Waziri wa Mambo ya Ndani na wakuu wa vyombo mbalimbali vya dola vilivyo chini ya wizara ya mambo ya ndani
Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb) Waziri wa Mambo ya Ndani akiwa na viongozi wa vikosi mbalimbali vilivyo chini ya wizara yake
Mhe. Mwigulu Lameck NCHEMBA Naibu Waziri wa Fedha na Mhe. Adam Kighoma Ali MALIMA (Mb) Naibu Waziri wa Fedha na baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya fedha. PICHA NA IKULU.
Labels:
KITAIFA
January 21, 2014
MGOMBEA UDIWANI WA CCM KATA YA SOMBETINI ANGARA MSIBANI SOMBETINI
MGOMBEA UDIWANI WA CCM NDG DAVID AKITETA JAMBO NA DIWANI WA VITI MAALUMU WA CHADEMA KATIKA KATA YA SOMBETINI.
FAMILIA YA MAREHEMU MZEE JONAS OLE SIKAR MOLLEL .
MSTAHIKI MEYA WA HALMASHAURI YA MJI WA MOSHI KATIKA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA MZEE JONAS OLE SIKAR MOLLEL .
WAOMBOLEZAJI
WACHUNGAJI WAKIENDESHA IBADA YA MAZIKO
MC NA KATIBU MWENEZI WA CCM KATA YA SOMBETINI AKITOA MAELEKEZO
WOSIFU WA MAREHEMU UKISOMWA NA MMOJA WA WANA FAMILIA.
UMATI WA WATU ULIFURIKA KUSHIRIKI MAZISHI HAYO .
MAANDALIZI YA KABURI YAKIENDELEA.
MSTAHIKI MEYA WA HALMASHAURI YA MJI WA MOSHI
WAOMBOLEZAJI WAKIWA NA SHAUKU KUBWA YA KUONGEA NA MGOMBEA UDIWANI WA CCM NDG DAVID (aliyevaa kofia)
MSTAHIKI MEYA WA HALMASHAURI YA MJI WA MOSHI
MBUNGE WA JIJI LA ARUSHA NDG G. LEMA NAYE AKIWEKA SHADA LA MAUA.
WAOMBOLEZAJI WAKIWEKA MASHADA KWENYE KABURI
NDG. DAVID MGOMBEA UDIWANI WA CCM AKITOA NAMBA YA SIMU YAKE KWA MMOJA WA WAOMBOLEZAJI KATIKA MSIBA HUO.
Labels:
ARUSHA















































