MIUNDOMBINU YA ELIMU ZANZIBAR SASA YALINGANA NA MAHITAJI YA KARNE YA 21

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa katika kuimarisha mazin...

Latest Post

Mwenezi Jiji la Arusha aendelea na Semina Kata ya Kati,Jijini Arusha.

Written By CCMdijitali on Wednesday, June 1, 2016 | June 01, 2016

  •  Mwenyekiti wa CCM Wilaya Arusha ,amsifu Mwenyekiti wa Kata ya Kati kwa ujenzi wa Ofisi ya Kata.

  • Afanya kazi kubwa kuhakikisha Ofisi ya Chama ilyoungua anaikamilisha kwa nguvu zake .

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg W. Soileli akikagua ujenzi wa Ofisi ya CCM Kata ya Kati

 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg W. Soileli akiangalia maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya CCM Kata ya Kati ,iliyoungua moto miaka miwili iliyopita akiwa amembatana na Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Wilay ya Arusha Ndg Kishumbua (hayupo pichani) katika muendelezo wa ziara ya Ujenzi wa Chama Wilayani Arusha.
Muonekano wa Ofisi ya Kata ya Kati.
Mwenyekiti wa Kata ya Kati,Jijini Arusha , Ndg Mohamed Sajan akiwatambulisha Wajumbe na kumkaribisha Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua, katika kikao cha Semina ya Kujenga Chama kwa Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Kata na Matawi ,
 30 Mei 2016.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya Kata ya Kati,Jijini Arusha
Pichani kulia ni Mwenyekiti wa Tawi la Bondeni,Kata ya Kati Ndg Yakubu Shaaban Mkindi Katibu wa Jumuiya ya  WAZAZI  Kata Ndg Haruna Golay na Bi Nadhifa Hamisi ,Mwenyekiti wa Jumuiya ya WAZAZI Tawi la Bondeni,Kata ya Kati.

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha aongoza maelfu ya waombolezaji,katika mazishi ,Kata ya Murieti - Arusha.

Marehemu Bibi Nembris Petro Mbise amefariki akiwa na umri wa miaka 114 na Wajukuu 90 

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli,akitoa salamu katika maziko ya Bibi Nembris Petro Mbise ,akiwa na mfiwa Ndg Francis Mbise ambaye pia ni Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa wa Muriet.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli,akiweka shada la maua kwenye kaburi la   Bibi Nembris Petro Mbise, yaliyofanyika kwenye Mtaa wa Muriet, Kata ya Muriet 31/05/2016
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli akisalimiana na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mkoa wa Arusha Ndg Chipaka.
Mmojawa Wajukuu wa Bibi Nembris Petro Mbise,akiwa ameshikilia picha ya Marehemu ,kama inavoonekana.
Makaburini
Ndg Francis Mbise ambaye pia ni Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa wa Muriet na mjukuu wa marehemu Bibi Nembris Petro Mbise, akitoa salamu na kuwashukuru waombolezaji wote waliojumuika naye katika kipindi hicho kizito cha kuondokewa na mpendwa wao Bi Bibi Nembris Petro Mbise.
Mc Ndg Jacob katika kuhakikisha kila jambo linaenda kama ilivyopangwa.


Viongozi wa Dini ,wakiendesha ibada takatifu katika maziko hayo.
Baadhi ya waombolezaji.

Baadhi ya Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha na Kata ya Muriet.



Wajukuu wa marehemu wakiwa wameubeba mwili wa marehemu kwenda kumlaza kwenye nyumba yake ya milele.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli akiwa katika ibada ya maziko katika makaburi.

Ibada ya Maziko ikiendelea.






Ibada ya kuweka mataji na maua kwenye nyumba ya milele katika maziko hayo.



Wajukuu wakiweka mishumaa kwenye kaburi.












Baadhi ya Waombolezaji katika msiba .

 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link