MIUNDOMBINU YA ELIMU ZANZIBAR SASA YALINGANA NA MAHITAJI YA KARNE YA 21

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa katika kuimarisha mazin...

Latest Post

WAZAZI CCM Arusha yafanya Kongamano la kuadhimisha Miaka 40 ya CCM.

Written By CCMdijitali on Saturday, February 4, 2017 | February 04, 2017

WAZAZI CCM Arusha waadhimisha Miaka 40 ya CCM kwa kauli mbiu;
"Ni Ipi nafasi ya Jumuiya ya WAZAZI Katika Kuisaidia CCM Kuendelea Kushika Dola"

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya WAZAZI CCM Wilaya Arusha Ndg Ally Mtumwa akiendesha Kongamano la kuadhimisha Miaka 40 ya Chama Cha Mapinduzi ,mara tu baada kufanya Usafi katika maeneo ya Fire Kata ya Themi,kulia kwake ni Katibu wa Jumuiya ya WAZAZI Wilaya Ndg Mohamed Mavallah.
 


 Mwenyekiti wa Jumuiya ya WAZAZI CCM Wilaya Arusha Ndg Ally Mtumwa akisikiliza kwa makini mawazo kutoka kwa Wajumbe katika  Kongamano la kuadhimisha Miaka 40 ya Chama Cha Mapinduzi ,mara tu baada kufanya Usafi katika maeneo ya Fire Kata ya Themi,kulia kwake ni Katibu wa Jumuiya ya WAZAZI Wilaya Ndg Mohamed Mavallah.

 Katibu wa Jumuiya ya WAZAZI Wilaya Ndg Mohamed Mavallah akichukua kumbu kumbu zilizokuwa zinawasilishwa kutoka kwa  Wajumbe katika Kongamano la kuadhimisha Miaka 40 ya Chama Cha Mapinduzi ,mara tu baada kufanya Usafi katika maeneo ya Fire Kata ya Themi.
Mwalikwa kutoka UVCCM Wilaya Ndg Iddy Ntonga  katika Kongamano la kuadhimisha Miaka 40 ya Chama Cha Mapinduzi ,mara tu baada kufanya Usafi katika maeneo ya Fire Kata ya Themi.


 Mjumbe kutoka Kata ya Sekei akichangia mada katika Kongamano la kuadhimisha Miaka 40 ya Chama Cha Mapinduzi ,mara tu baada kufanya Usafi katika maeneo ya Fire Kata ya Themi.

 Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya WAZAZI kutoka kushoto Ndg Mussa Mkanga na Bi Phidesia Mwakalima wakiwa katika Kongamano la kuadhimisha Miaka 40 ya Chama Cha Mapinduzi ,mara tu baada kufanya Usafi katika maeneo ya Fire Kata ya Themi.

 
 Meza Kuu na Wajumbe katika Kongamano la kuadhimisha Miaka 40 ya Chama Cha Mapinduzi ,mara tu baada kufanya Usafi katika maeneo ya Fire Kata ya Themi.


Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya WAZAZI kutoka kushoto Ndg Agostino Massawe , Capt J.N Mniko na Ndg Mussa Mkanga  wakiwa katika Kongamano la kuadhimisha Miaka 40 ya Chama Cha Mapinduzi ,mara tu baada kufanya Usafi katika maeneo ya Fire Kata ya Themi.







 
 Wajumbe kutoka Kata ya Kati  katika Kongamano la kuadhimisha Miaka 40 ya Chama Cha Mapinduzi ,mara tu baada kufanya Usafi katika maeneo ya Fire Kata ya Themi.
 
Wajumbe kutoka Kata ya Kati katika Kongamano la kuadhimisha Miaka 40 ya Chama Cha Mapinduzi ,mara tu baada kufanya Usafi katika maeneo ya Fire Kata ya Themi.

Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha,Ndg Jasper Kishumbua


Katibu Mwenezi Wilaya ya Arusha katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Sekei ya Jijini Arusha.

Written By CCMdijitali on Friday, February 3, 2017 | February 03, 2017

Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akijadili mawili matatu na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha Bi Sifa Swai na Ndg Mushi katika Ukumbi wa Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Kata ya Sekei.

Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akionekana kuteta jambo na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha Bi Sifa Swai (aliyefunga kitambaa cha njano kichwani) ,kushoto kabisa ni Katibu wa CCM Kata ya Sekei Bi Ruth Msuya pamoja na baadhi ya Wajumbe wengine katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Sekei kilichofanyika  katika Ukumbi wa Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Kata ya Sekei.



Picha ya kushoto Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akionekana kusikiliza hoja zilizokuwa zinawasilishwa kutoka kwa Wajumbe na picha ya kulia akitoa ufafanuzi wa Kikatiba ya Chama Cha Mapinduzi  katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Sekei kilichofanyika  katika Ukumbi wa Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Kata ya Sekei.




Sekretariet ya Chama Cha Mapinduzi Kata ya Sekei.


Katibu wa CCM Kata ya Sekei Bi Ruth Msuya akiongea  katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Sekei kilichofanyika  katika Ukumbi wa Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Kata ya Sekei.


Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Arusha Bi Sifa Swai akitoa nasaha  katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Sekei kilichofanyika  katika Ukumbi wa Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Kata ya Sekei.

Mwenyekiti wa UWT Kata ya Sekei Bi Akira akifuatilia hoja za Wajumbe katika  kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Sekei kilichofanyika  katika Ukumbi wa Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Kata ya Sekei.





Meza kuu kushoto ni Mchumi wa CCM Kata ya Sekei ,Mwenyekiti wa CCM Kata Ndg Khalifa, Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua na Bi Ruth Msuya  katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Sekei kilichofanyika  katika Ukumbi wa Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Kata ya Sekei.



 Wajumbe wakionekana kufuatilia jambo katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Sekei kilichofanyika  katika Ukumbi wa Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Kata ya Sekei.


Mwenezi wa Arusha aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Olmot,Arusha.

Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha akisiliza kwa makini Wajumbe katika kikao cha tathmini ya Uchaguzi Mkuu 2015.

Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Olmot 2015 akiongea na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Olmot.





Baadhi ya Wajumbe Halmashauri Kuu ya Kata wakifuatilia kwa makini mjadala na maoni katika kikao.


 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link